Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baby J anogesha onesho la Yamoto Band Dar Live

yamoto band (1)Baby J akiwapagawisha mashabiki.yamoto band (2)….akiwaimbisha mashabiki.yamoto band (3)Mabaunsa wakijaribu kuwatuliza vijana waliotaka kumvaa Baby J.yamoto band (4)Baby Jay akiimba sambamba na Maromboso wa Yamoto Band.yamoto band (5)Baada ya Baby Jay mwanamuziki aliyeibukia kupitia shindano la BSS, Juma Kayumba naye alivamia jukwaa na kuwapagawisha kwa ‘live band’ ambapo aligeuka koffi Olomide kwa muda na kupiga kibao cha Selfie ‘Ikotite’.yamoto band (6)Muimbaji wa Taarabu, Zena Mohammed akiimba sambamba na Yamoto Band kibao alichoshirikiana na bendi hiyo ambacho...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!

Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika uwanja wa taifa wa burudani Dar Live Mbagala, Yamoto Band walipiga Show usiku wa December 19 huku wakipewa sapoti na mshindi wa BSS Kayumba pamoja […]

The post Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

MJAMZITO ATIBUA ONESHO LA YAMOTO BAND

Richard Bukos na Issa Mnally Dada mmoja aliyedaiwa kuwa mjamzito usiku wa Ijumaa iliyopita alizua tafrani na kusababisha onesho la Yamoto Band kusimamishwa  baada ya kuvamia jukwaa na kufanya ndivyo sivyo huku kitumbo chake kikiwa kimejichomoza kiuchokozi kufuatia kuachwa wazi. Kisa hicho cha kushangaza kilitokea ndani ya Ukumbi wa White House uliopo Kimara jijini Dar ambapo Yamoto Band kwa kushirikiana na Bendi ya African...

 

9 years ago

Global Publishers

Yamoto Band Hakukaliki Dar Live Leo

YAMOTO.pngHAKAI mtu! Unaweza sema kwa maana nyingine wakati bendi inayokimbiza mjini, Yamoto leo (Desemba 19), itakapoporomosha ngoma mpya na zote zinazobamba ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar.

Akizungumza na kona ya Muziki wa Dansi, Mohamed Seif ‘Mudy K’ alisema kuwa kwa mara ya kwanza baada ya kubamba na Ngoma ya Cheza kwa Madoido, Yamoto watatambulisha ngoma yao mpya ijulikanayo kama Imo.

“Mbali na Imo, Yamoto pia watatambulisha nyimbo nyingine mbili...

 

9 years ago

GPL

YAMOTO BAND KUZINDUA STAILI MPYA DAR LIVE

  Ni Uzinduzi wa Video ya Cheza kwa Madoido...  
KUNDI linalotikisa kila kona la Yamoto Band linatarajiwa kuzindua staili mpya za kucheza, Septemba 11, mwaka huu pale watakapozindua rasmi Video ya Cheza kwa Madoido ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Akichonga na Mikito Nusunusu, meneja wa bendi hiyo, Said Fella aliwataka mashabiki wa Yamoto kufika kwa wingi kutokana na staili...

 

11 years ago

GPL

YAMOTO NA SKYLIGHT BAND ZAFANYA KUFURU DAR LIVE

Mwanadada Aneth Kushaba wa Skylight Band akiwapagawisha mashabiki wa Dar Live. Yamoto Band chini ya Prezidaa wake, Dodo Aslay (wa pili kulia) wakifanya yao stejini.…

 

10 years ago

GPL

YAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE USIKU HUU

Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi rasmi wa Yamoto Band.…

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI YAMOTO BAND: MZEE YUSUF APAGAWISHA DAR LIVE

Mzee Yusuf akiwapa raha mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku huu katika uzinduzi wa Yamoto Band. Mashabiki wa Mzee Yusuf wakiwa wamepagawa na burudani ndani ya Dar Live.…

 

10 years ago

GPL

YAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE USIKU WA KUAMKIA LEO

Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi rasmi wa Yamoto Band.
Mashabiki wakiwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani