MJAMZITO ATIBUA ONESHO LA YAMOTO BAND
![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod0RVXSkzQXl7OlCuTsr51923BtO7RKLV4B1zxXrOZXNDIAPWJc-XGxKQ8u1YPqFhrzDVi7tu2BFwZzW21EtYHXy/mamawemacopy.jpg1.jpg?width=650)
Richard Bukos na Issa Mnally Dada mmoja aliyedaiwa kuwa mjamzito usiku wa Ijumaa iliyopita alizua tafrani na kusababisha onesho la Yamoto Band kusimamishwa baada ya kuvamia jukwaa na kufanya ndivyo sivyo huku kitumbo chake kikiwa kimejichomoza kiuchokozi kufuatia kuachwa wazi. Kisa hicho cha kushangaza kilitokea ndani ya Ukumbi wa White House uliopo Kimara jijini Dar ambapo Yamoto Band kwa kushirikiana na Bendi ya African...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Baby J anogesha onesho la Yamoto Band Dar Live
Baby J akiwapagawisha mashabiki.
….akiwaimbisha mashabiki.
Mabaunsa wakijaribu kuwatuliza vijana waliotaka kumvaa Baby J.
Baby Jay akiimba sambamba na Maromboso wa Yamoto Band.
Baada ya Baby Jay mwanamuziki aliyeibukia kupitia shindano la BSS, Juma Kayumba naye alivamia jukwaa na kuwapagawisha kwa ‘live band’ ambapo aligeuka koffi Olomide kwa muda na kupiga kibao cha Selfie ‘Ikotite’.
Muimbaji wa Taarabu, Zena Mohammed akiimba sambamba na Yamoto Band kibao alichoshirikiana na bendi hiyo ambacho...
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.
Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.
Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.
Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.
Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
SautiSol, Yamoto Band, Skylight Band na wengine kibao kupamba BEAUTY & MUSIC NIGHT kesho Escape One
#LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho!
Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo
9 years ago
We Were Not Bribed By Diamond17 Aug
Yamoto Band
AllAfrica.com
Famous Tanzanian band Yamoto has refuted reports that it was "bribed" by Diamond Platnumz to release a dis-track for his ex-girlfriend Wema Sepetu. During an interview with Word Is in Mombasa last week, the young crooners said that it was purely their ...
10 years ago
VijimamboBILEKU MPASI KUTOKA CONGO (DRC) NA MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/N2NivL9JMd4/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-eLuEfSpbbjA/VPLSkoC7h5I/AAAAAAAAC6s/G2Gv0yLqcqI/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-03-01%2Bat%2B08.48.46.png)
YAMOTO BAND LIVE IN LONDON
![](http://4.bp.blogspot.com/-eLuEfSpbbjA/VPLSkoC7h5I/AAAAAAAAC6s/G2Gv0yLqcqI/s1600/Screen%2BShot%2B2015-03-01%2Bat%2B08.48.46.png)
9 years ago
Bongo530 Sep
Music: Yamoto Band — Imo
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-4hCghhGgyDc/VYBBOzZON2I/AAAAAAAACFU/O6oUIr3u1lQ/s72-c/Yamoto-Band-New.jpg)