Yamoto Band Hakukaliki Dar Live Leo
HAKAI mtu! Unaweza sema kwa maana nyingine wakati bendi inayokimbiza mjini, Yamoto leo (Desemba 19), itakapoporomosha ngoma mpya na zote zinazobamba ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na kona ya Muziki wa Dansi, Mohamed Seif ‘Mudy K’ alisema kuwa kwa mara ya kwanza baada ya kubamba na Ngoma ya Cheza kwa Madoido, Yamoto watatambulisha ngoma yao mpya ijulikanayo kama Imo.
“Mbali na Imo, Yamoto pia watatambulisha nyimbo nyingine mbili...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL10 years ago
GPLYAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE USIKU WA KUAMKIA LEO
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Baby J anogesha onesho la Yamoto Band Dar Live
Baby J akiwapagawisha mashabiki.….akiwaimbisha mashabiki.Mabaunsa wakijaribu kuwatuliza vijana waliotaka kumvaa Baby J.Baby Jay akiimba sambamba na Maromboso wa Yamoto Band.Baada ya Baby Jay mwanamuziki aliyeibukia kupitia shindano la BSS, Juma Kayumba naye alivamia jukwaa na kuwapagawisha kwa ‘live band’ ambapo aligeuka koffi Olomide kwa muda na kupiga kibao cha Selfie ‘Ikotite’.Muimbaji wa Taarabu, Zena Mohammed akiimba sambamba na Yamoto Band kibao alichoshirikiana na bendi hiyo ambacho...
11 years ago
GPLYAMOTO NA SKYLIGHT BAND ZAFANYA KUFURU DAR LIVE
9 years ago
GPLYAMOTO BAND KUZINDUA STAILI MPYA DAR LIVE
10 years ago
GPLYAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE USIKU HUU
10 years ago
GPLUZINDUZI YAMOTO BAND: MZEE YUSUF APAGAWISHA DAR LIVE
11 years ago
GPLSKYLIGHT, YAMOTO BAND NDANI YA JUKWAA MOJA DAR LIVE JUNI 28, 2014
11 years ago
GPL26 Jun