SKYLIGHT, YAMOTO BAND NDANI YA JUKWAA MOJA DAR LIVE JUNI 28, 2014
![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8TqJyoypDJSVBwLBZTklzucGItpqi**5QYjhHv-GJgj9kl7MT*orIpVDhgr2h1Phnqf*7vzWukYuuetMwaSCPOA/DarLiveA3.jpg?width=750)
Na Nassor Gallu PATAKUWA hapatoshi katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live, uliopo Mbagala-Zakhem pale watakapozishusha bendi mbili zinazosumbua mjini, Skylight pamoja na Yamoto, Jumamosi ya Juni 28, mwaka huu. Bendi ya Skylight na Yamoto Bendi wakiwa katika picha ya pamoja kujiandaa na Funga Kazi ndani ya Dar Live siku ya Jumamosi Juni 28, 2014. Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba, ameliambia Championi Jumatano kuwa,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8QCqa3*lHluaVp7VjBUGBLrIYXutZdGQXhgb7sOizzMxBpoCQN8WKwdcvPnvBEqdbhI8SOoaHo85ZTcNmBH7IpP/YAMOTOBAND2.jpg?width=750)
SKYLIGHT, YAMOTO BAND KUSHUSHA SHOW YA UKWELI NDANI YA DAR LIVE JUNI 28, 2014
11 years ago
GPL26 Jun
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVmtkQQfG4V9kN11c2ky8gwc3qEo2fl36*wMaHi1ebq-7PPCvsn102XjokUTMJlWeO-hPtxSluKTDR6vhwY8Qgyc/aneth.jpg?width=650)
YAMOTO NA SKYLIGHT BAND ZAFANYA KUFURU DAR LIVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8TqJyoypDJSVBwLBZTklzucGItpqi**5QYjhHv-GJgj9kl7MT*orIpVDhgr2h1Phnqf*7vzWukYuuetMwaSCPOA/DarLiveA3.jpg?width=750)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qFlBJ9gKpIg/VImLLYjTEyI/AAAAAAAG2hI/CaxKnf1rxCI/s72-c/unnamebd.jpg)
FM Academia, Yamoto, Sylight, Mapacha jukwaa moja katika Beach Band Bonanza
Bonanza hilo limeandaliwa na kampuni ya Team Mamba na mbali ya bendi hizo nyota, wasanii wa bongo fleva wakiongozwa na Dully Sykes, CPWAA na Damian Soul ambaye atakuja na bendi yake.
Msemaji wa kampuni ya Team Mamba, Doris Godfrey alisema kuwa bonanza hilo lililodhaminiwa Coca-Cola...
10 years ago
GPLTWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.
Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.
Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.
Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.
Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!
Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika uwanja wa taifa wa burudani Dar Live Mbagala, Yamoto Band walipiga Show usiku wa December 19 huku wakipewa sapoti na mshindi wa BSS Kayumba pamoja […]
The post Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Yamoto Band Hakukaliki Dar Live Leo
HAKAI mtu! Unaweza sema kwa maana nyingine wakati bendi inayokimbiza mjini, Yamoto leo (Desemba 19), itakapoporomosha ngoma mpya na zote zinazobamba ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na kona ya Muziki wa Dansi, Mohamed Seif ‘Mudy K’ alisema kuwa kwa mara ya kwanza baada ya kubamba na Ngoma ya Cheza kwa Madoido, Yamoto watatambulisha ngoma yao mpya ijulikanayo kama Imo.
“Mbali na Imo, Yamoto pia watatambulisha nyimbo nyingine mbili...