RED CARPET YA MISS TANZANIA 2014 MLIMANI CITY
Miss Tanga ambaye pia ni Miss Reds 2007, Victoria Martin. Mtangazaji wa Kipindi cha Bongo Beats cha Star TV, Sauda Mwilima.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo512 Oct
Picha: Red Carpet — Redd’s Miss Tanzania 2014
Kabla ya kupatikana mshindi wa Redd’s Miss Tanzania 2014,Sitti Mtemvu wadau mbalimbali waliohudhuria tukio hilo lilikofanyika katika ukumbi wa Mlimani City walitapa nafasi ya kupiga picha katika zuria jekundu. Katika show hiyo ambayo kila mdau aliyepata nafafi ya kuhudhuria alionyesha uwezo wake katika mavazi hali iliyoifanya sherere hiyo kufana kutokana na ushondani wa kuvaa. Tazama […]
11 years ago
GPL11 years ago
GPL
MATUKIO YA REDDS MISS TANZANIA 2014 MLIMANI CITY DAR
 Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar.
Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali…
11 years ago
Michuzi
Redd's Miss Tanzania 2014 kufanyika Mlimani City jumamosi hii

11 years ago
GPL
REDD'S MISS TANZANIA 2014 KUFANYIKA MLIMANI CITY JUMAMOSI HII
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, juu ya onyesho la Redd's Miss Tanzania 2014 linalotarajiwa kufanyika Oktoba 11, 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.Katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni Wadhamini Wakuu wa Mashindano hayo, Victoria Kimaro na kushoto ni...
11 years ago
Michuzi
Redds Miss Tanzania 2014 kujulikana usiku huu Mlimani City jijini Dar



11 years ago
Michuzi08 Oct
11 years ago
GPL
MISS TANZANIA KUFANYIKA LEO MLIMANI CITY DAR
 SHINDANO la kumsaka mrembo wa Tanzania linatarajiwa kufanyika leo, ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ikiwa ni ruhusa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutupilia mbali pingamizi la mashindano hayo lililowasilishwa mahakamani na mmoja wa waanzilishi wa Miss Tanzania, Prashant Patel. Shindano hilo litashirikisha warembo zaidi ya 20 ambapo watachuana jukwaani kuwania nafasi ya...
11 years ago
GPL30 Jun
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania