MISS TANZANIA NAMBA TATU JIHAN ALA CHAKULA NA WATOTO YATIMA
Miss Tanzania namba tatu mwaka huu,Jihan Dimack jana alitembelea kituo cha watoto yatima cha Mwana Orphanage Centre" kilichopo maeneo ya Vingunguti,jijini Dar na kula nao chakula cha mchana na kuwapa moyo wasijione kama wametengwa na jamii kwani wajione kama watoto wengine.
Pia mrembo huyo alitoa msaada wa pesa kwa ajili ya shule kwa watoto hao,Jihan amekuwa mrembo wa kwanza kuanza kutoka misaada kwa jamii tangu mashindano hayo yamalizike hivi karibuni.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLREDDS MISS TANZANIA 2013 AWAFARIJI WATOTO YATIMA
10 years ago
Dewji Blog28 Sep
Jihan Dimachk ndiye Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top...
10 years ago
VijimamboJihan Dimachk atwaa taji la Redd's Miss Tanzania Top Model 2014
10 years ago
Vijimambo17 Dec
DIAMOND NA KUNDI LAKE WALA CHAKULA NA WATOTO YATIMA MOMBASA NCHINI KENYA
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/15.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/220.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/33.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10848439_766054396799358_367982738_n1.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10860032_1525497057730437_1054455551_n1.jpg)
10 years ago
GPLMISS ILALA NO 2 AWAPATIA ZAWADI WATOTO YATIMA, WAMUOMBEA DUA MAALUM
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Hoteli ya Giraffe Ocean View yaanda chakula cha mchana kwa watoto yatima na kuwakabidhi zawadi za X-Mass
Watoto wanaolelewa katika Kitu cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, wakiwasili katika eneo la Hoteli ya Giraffe Ocean View, Dar es Salaam juzi baada ya kualikwa kwa ajili ya kupewa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi pamoja na chakula cha mchana. (Na Mpigapicha Wetu).
Watoto wa Kituo cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, Dar es Salaam, wakijihudumiwa chakula cha mchana juzi kilichoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View iliyopo jijini ambapo pia walipewa zawadi ya mbuzi, mchele na...
11 years ago
MichuziJIHAN NDIYE MISS DAR CITY CENTRE 2014
10 years ago
GPLJIHAN DIMESH AWA REDD’S MISS ILALA 2014