Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND NA KUNDI LAKE WALA CHAKULA NA WATOTO YATIMA MOMBASA NCHINI KENYA

Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa na watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya walipotembelea makazi yao na kula chakula na watoto hao.  Diamond Platnumz akimsaidia mmoja ya watoto yatima wa kituo hicho mjini Mombasa nchini Kenya kula chakula.Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa kwenye kituo cha kulea watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya. Diamond na kundi lake wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya.Picha kwa hisani ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

MISS TANZANIA NAMBA TATU JIHAN ALA CHAKULA NA WATOTO YATIMA

Miss Tanzania namba tatu mwaka huu,Jihan Dimack jana alitembelea kituo cha watoto yatima cha Mwana Orphanage Centre" kilichopo maeneo ya Vingunguti,jijini Dar na kula nao chakula cha mchana na kuwapa moyo wasijione kama wametengwa na jamii kwani wajione kama watoto wengine.Pia mrembo huyo alitoa msaada wa pesa kwa ajili ya shule kwa watoto hao,Jihan amekuwa mrembo wa kwanza kuanza kutoka misaada kwa jamii tangu mashindano hayo yamalizike hivi karibuni.

 

9 years ago

Bongo5

Sisqo na kundi lake la Dru Hill kutumbuiza Kenya Jumamosi hii

Mark Althavean Andrews, maarufu kama Sisqó ni mwimbaji wa RnB kutoka Marekani ambaye alivuma mwishoni mwa miaka ya 90 na hits zake kama ‘Unleash the Dragon’, ‘Thong Song’ na zingine. Sisqó pia ni lead singer wa kundi la ,ru Hill ambalo limewahi kutamba na nyimbo kama ‘How Deep Is Your Love’, ‘In My Bed’ na […]

 

10 years ago

Michuzi

Lake Duluti Serena Hotel yatoa zawadi kwa watoto yatima

Yatima wanaolelewa katika nyumba ya watoto katika hospitali ya Nkoaranga wamepewa misaada mbalimbali iliyotolewa na wafanyakazi wa Lake Duluti Serena Hotel, mkoa wa Arusha katika kusherekea siku kuu za Krismas na mwaka mpya ikiwa ni njia ya kuyakumbuka makundi maalumu katika jamii.  Meneja wa hoteli hiyo, Gerald Macharia amesema wameguswa na hali ya maisha ya watoto hao ambao wazazi wao walifariki dunia wakati wa kujifungua na wengine walitelekezwa baada ya kuzaliwa.Amesema kwa miaka...

 

11 years ago

Michuzi

kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) watoa msaada kwa watoto yatima wa kituo cha CHAKUWAMA,Sinza

Wanawake wanaowakilisha na kuunda kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) Edith Masuki, Cheyzo Uliza na Scola wakiwasilisha zawadi za mkono wa Idd kwa watoto,wanaolelewa kwenye kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki .

Dada Cheyzo Uliza,Edith Masauki na Dada Fatma Mgembe wakionesha upendo kwa watoto wadogo waliopo kituoni hapo.baadhi ya watoto wa kituo hicho wakiwa ni wenye furaha kwa kutembelewa na ugeni huo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Hoteli ya Giraffe Ocean View yaanda chakula cha mchana kwa watoto yatima na kuwakabidhi zawadi za X-Mass

giraffe 5

Watoto wanaolelewa katika Kitu cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, wakiwasili katika eneo la Hoteli ya Giraffe Ocean View, Dar es Salaam juzi baada ya kualikwa kwa ajili ya kupewa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi pamoja na chakula cha mchana. (Na Mpigapicha Wetu).

giraffe 3

Watoto wa Kituo cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, Dar es Salaam, wakijihudumiwa chakula  cha mchana juzi kilichoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View iliyopo jijini ambapo pia walipewa zawadi ya mbuzi, mchele na...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatoa 20m/- kufuturisha Vituo vya watoto yatima nchini

Airtel Tanzania imetoa Tsh Milioni 20 kwa Jumuiya ya Waislamu kupitia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa lengo la kufuturisha vituo kumi vya kulelea watoto yatima nchini. Akikabidhi hundi kwa Naibu katibu Mkuu wa Bakwata Meneja Huduma za Jamii wa Airtel Hawa Bayumi alisema vituo vitakavyopata msaada huo ni pamoja na Kigogo Fresh orphanage cha Ilala, IHSANI orphanage cha Temeke, Almadina center kinondoni.Pia kwa Arusha ni Kiboa Islamic orphanage, Nusuru yatima orphanage Bukoba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani