Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sisqo na kundi lake la Dru Hill kutumbuiza Kenya Jumamosi hii

Mark Althavean Andrews, maarufu kama Sisqó ni mwimbaji wa RnB kutoka Marekani ambaye alivuma mwishoni mwa miaka ya 90 na hits zake kama ‘Unleash the Dragon’, ‘Thong Song’ na zingine. Sisqó pia ni lead singer wa kundi la ,ru Hill ambalo limewahi kutamba na nyimbo kama ‘How Deep Is Your Love’, ‘In My Bed’ na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii

Member wa kundi la miaka ya 90 Fugees, Wyclef Jean anatarajiwa kuwa nchini Kenya weekend hii, ambapo atatumbuiza kwenye jukwaa moja na wasanii wengine wa Africa akiwemo Shaa kutoka Tanzania, katika fainali za msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Wasanii wengine wa Afrika watakaotumbuiza kwenye fainali hizo ni pamoja na Chidinma wa Nigeria, Navio […]

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Tazama Shilole alivyopokelewa huko Ubelgiji. Kutumbuiza jumamosi hii

Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel.

 

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee atua Lagos, kutumbuiza kwenye Gidi Culture Festival Jumamosi hii

Vanessa Mdee na Victoria Kimani ni wasanii pekee wa Afrika Mashariki walioalikwa kwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Gidi Culture Festival jijini Lagos, Nigeria. Tayari muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ amewasili jijini humo kuungana na wasanii wakubwa wa Nigeria kwenye show hiyo itakayofanyika Jumamosi hii. Tamasha hilo lililopewa jina la ‘Africa’s Biggest Beach Party litawakutanisha […]

 

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI MTANZANIA MWENYE ASILI YA ITALIA KUTUMBUIZA HOTELI YA MEDITERRANEO JUMAMOSI HII JIJINI DAR

Mwanamuziki Chantal Saroldi kutoka Italia. Mwanamuziki Chantal Saroldi (kushoto), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni Balozi wa Italia nchini, toka Italia. Balozi wa Italia nchini, Luigi Sccoto (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, kuhusu tamasha la muziki litakalofanyika kesho Hoteli ya Mediterraneo iliyopo Kawe ambapo mwanamuziki huyo atatoa burudani.… ...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond kutumbuiza kwenye tuzo za ‘Africa Magic Viewers’ Choice Awards’, Lagos Jumamosi hii

Diamond Platnumz amepata shavu lingine la kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji wa tuzo za ‘Africa Magic Viewers’ Choice Awards’ (AMVCA 2015), zitakazofanyika Jumamosi hii huko Lagos, Nigeria na kurushwa Live kupitia DSTV. “Waliwasiliana na sisi kwa e-mail, na show itakuwa ni siku ya Jumamosi Tarehe 7,” amesema mmoja wa mameneja wake, Salaam kupitia 255 ya […]

 

11 years ago

Bongo5

Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani, T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza

Tuzo za ‘African Muzik Magazine Awards’ (AFRIMMA) zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya wiki hii (July 26) huko Texas, Marekani. Wasanii walioko kwenye orodha ya kutumbuiza ni pamoja na Davido, Iyanya, Diamond Platnumz, Khulichana, Flavour, 2Face, T-Pain na wengine. Nominees wa Tanzania katika tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye anawania vipengele 5, Ben Pol,Lady Jaydee, […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanamuziki mwanadada Mtanzania mwenye asili ya Italia kutumbuiza hoteli ya Mediterraneo Jumamosi hii jijini Dar

Mwanamuziki Chantal Saroldi kutoka Italia.

Mwanamuziki Chantal Saroldi (kushoto), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni Balozi wa Italia nchini, toka Italia.

3

Balozi wa Italia nchini, Luigi Sccoto (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, kuhusu tamasha la muziki litakalofanyika kesho Hoteli ya Mediterraneo iliyopo Kawe ambapo mwanamuziki huyo atatoa burudani.

Mkurugenzi wa Hoteli ya Mediterraneo waandaaji wa tamasha hilo, Samantar Abdinur...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND NA KUNDI LAKE WALA CHAKULA NA WATOTO YATIMA MOMBASA NCHINI KENYA

Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa na watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya walipotembelea makazi yao na kula chakula na watoto hao.  Diamond Platnumz akimsaidia mmoja ya watoto yatima wa kituo hicho mjini Mombasa nchini Kenya kula chakula.Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa kwenye kituo cha kulea watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya. Diamond na kundi lake wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya.Picha kwa hisani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani