Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa Mdee atua Lagos, kutumbuiza kwenye Gidi Culture Festival Jumamosi hii

Vanessa Mdee na Victoria Kimani ni wasanii pekee wa Afrika Mashariki walioalikwa kwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Gidi Culture Festival jijini Lagos, Nigeria. Tayari muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ amewasili jijini humo kuungana na wasanii wakubwa wa Nigeria kwenye show hiyo itakayofanyika Jumamosi hii. Tamasha hilo lililopewa jina la ‘Africa’s Biggest Beach Party litawakutanisha […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Diamond kutumbuiza kwenye tuzo za ‘Africa Magic Viewers’ Choice Awards’, Lagos Jumamosi hii

Diamond Platnumz amepata shavu lingine la kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji wa tuzo za ‘Africa Magic Viewers’ Choice Awards’ (AMVCA 2015), zitakazofanyika Jumamosi hii huko Lagos, Nigeria na kurushwa Live kupitia DSTV. “Waliwasiliana na sisi kwa e-mail, na show itakuwa ni siku ya Jumamosi Tarehe 7,” amesema mmoja wa mameneja wake, Salaam kupitia 255 ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini

Vanessa Mdee a.k.a Vee Money anaendelea kupata mashavu ya kimataifa, ambapo hivi sasa ataiwakilisha Bongo katika tamasha la ‘African Music Concert’ 2015 (AMC) linalotarajiwa kufanyika October 24, 2015 Johannesburg, Afrika Kusini. Hit maker wa ‘No Body But Me’ atashare jukwaa na mastaa wengine wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, Uhuru, A.K.A, K.O, RunTown, Victoria Kimani, Dama […]

 

10 years ago

Bongo5

Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii

Member wa kundi la miaka ya 90 Fugees, Wyclef Jean anatarajiwa kuwa nchini Kenya weekend hii, ambapo atatumbuiza kwenye jukwaa moja na wasanii wengine wa Africa akiwemo Shaa kutoka Tanzania, katika fainali za msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Wasanii wengine wa Afrika watakaotumbuiza kwenye fainali hizo ni pamoja na Chidinma wa Nigeria, Navio […]

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee, Wizkid, Davido, AKA, Flavour na wengine kutumbuiza South Nov 21

11379892_931151246960569_1101213556_n

Vanessa Mdee aka Vee Money anatarajia kutumbuiza wimbo wake mpya ‘Never Ever’ na zingine kwenye jukwaa kubwa zaidi la muziki wa Afrika jijini Johannesburg, Afrika Kusini, Nov 21.

11379892_931151246960569_1101213556_n

Tamasha hilo lililopewa jina la African Music Concert litawakutanisha karibu wasanii wote wakubwa wa Afrika.

10723756_149871895366693_1843374891_n

Pamoja na Vanessa Mdee, wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Wizkid, Davido, Uhuru, A.K.A, K.O, RunTown, Victoria Kimani, Dama do bling na Bucie.

Wengine ni Da LES, Darley, Anatii, Emmy Gee, The...

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na Awilo, Iyanya, Burna Boy, Nigeria mwezi ujao

Miongoni mwa wasanii wa muziki wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa hapa Tanzania ni pamoja na Vanessa “Vee Money” Mdee. Juhudi zake zimemsababisha kwa muda mfupi aliokuwepo kwenye muziki kuanza kupata deals kubwa za makampuni, matangazo, na video zake kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya TV za nje na sasa milango ya shows za nje inaendelea […]

 

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI JUMAMOSI 5 SEPT 2015

 Ngoma Africa band Ngoma Africa Band aka FFU katika gwaride jukwaani nchini Latvia
KWA P[ICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Vijimambo

LEO JUMAMOSI 5 SEPT 2015 NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni ukipenda waiite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien's yenye makao kule Ujerumani inatarajiwa kutingisha jukwaa katika maonyesho ya Vechelde Festival nchini Ujerumani Jumamosi 5. September 2015 saa 2:00 Usiku katika eneo la :Bürgerzentrum Vechelde liliopo mtaa Hildesheimer Straße 5 mjini Vechelde jirani mji wa Braunschweig,Ujerumani.Bendi hiyo maarufu Ngoma Africa yenye sifa za kuwatia kiwewe washabiki wa...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA INTERN.AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN ,JUMAMOSI 25 JULAI 2015

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani,inatarajiwa kutingisha jukwaa lamaonyesho makubwa ya muziki na utamaduni barani ulaya 6th International African Festival in Tübingen, Ujerumani,bendi hiyo maarufu inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja  itapanda jukwaani siku ya Jumamosi 27 Julai 2015 majira saa 2.00 Usiku katikauwanja wa Festplatz,Europa str,mjini Tübingen ,uliopo Ujerumani ya Kusini. Kikosi kazi hiko cha Ngoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani