VITUO VITATU VYA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM VYAPOKEA ZAWADI ZA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

 Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na wa kwanza kushoto ni Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi watoto wenye ulemavu wa ngozi katika kituo cha Buhangija kilichopo Shinyanga zawadi za Sikukuu ya Krismasi hapa watoto wenzao wakipokea zawadi hizo kwa niaba.  Akikabidhi Msaada huo Afisa Fedha wa PSPF kutoka Makao Makuu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Vituo vitatu vya watoto wenye uhitaji maalum vyapokea zawadi za krismasi kutoka PSPF

Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu ( kushoto) Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi watoto wenye ulemavu wa ngozi katika kituo cha Buhangija kilichopo Shinyanga zawadi za Sikukuu ya Krismasi hapa watoto wenzao wakipokea zawadi hizo kwa niaba.
Akikabidhi Msaada huo Afisa Fedha wa PSPF kutoka Makao Makuu alisema kwamba Mfuko wa Pensheni wa PSPF unalo lengo la kuwasaidia watoto wenye...
10 years ago
MichuziKITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI KUTOKA CLOUDS MEDIA GROUP WALIPATA FURSA YA KUTEMBEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI YA PSPF NA KUJIONEA WENYEWE UBORA WA HUDUMA NA BIDHAA ZA MFUKO
10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL WAZINDUA MFUKO MPYA
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA KITUO CHA WATOTO YATIMA NA WASIO NA MAKAZI MAALUM (CHAKUWAMA) KILICHOPO SINZA
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AMKABIDHI ZAWADI MFANYAKAZI BORA WA MWAKA KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, HERMAN KACHIMA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
10 years ago
Michuzi
MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED WAZINDUA MPANGO WA KUWAKOPESHA VIWANJA WANACHAMA WA MFUKO HUO

10 years ago
GPL
BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA