Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA FISTULA DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA ZANZIBAR

Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar(viti maalumu), Wanu Ameir, amewataka viongozi wa mikoa ya Zanzibar kutoa mazingira wezeshi kuwarahisishia mabalozi wa Fistula nchini kuhamasisha na kuelimisha Umma dhidi ya fistula hapa visiwani ambapo mpaka sasa ni wagonjwa 6 tu ambao wamejitokeza tangu kuanza kampeni hiyo aliyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya Fistula Duniani jana.Elimu hiyo inatolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation. Mgeni rasmi kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIKU YA FISTULA DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA ZANZIBAR‏

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula, Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Wanu Ameir (kushoto) akipokewa na Balozi wa Fistula, Khadija Salum baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Kwamtipura mjini Zanzibar jana,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Wananchi wakimsikiliza mgeni...

 

11 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA FISTULA DUNIANI‏

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani. Mmoja wa wasanii wa kundi la “Mpoto Theater”akigawa… ...

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA ILIVYOADHIMISHWA WILAYANI MKURANGA

Mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, Makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga,Mhe Juma Abeid akifuatilia sherehe hizo katika viwanja vya Shule ya Msingi Kiparang’ada. Kushoto kwake ni Diwani wa Kata ya Kiparang’anda Mhe Karu Amani Karavina, na Kulia ni Mke wa Mbunge wa Mkuranga,Mama Naima Malima. Mke wa Mbunge wa Mkuranga,Mama Naima Malima akizungumza machache wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika,yaliyofanyika Juni 16 katika shule...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Habarileo

Zanzibar waadhimisha siku ya utalii duniani

KAMISHENI ya Utalii Zanzibar jana ilizindua Siku ya Utalii Duniani ambayo itafikia kilele chake kesho katika kijiji cha Nungwi wilaya ya Kaskazini Unguja.

 

10 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YADHIMISHA SIKU YA UNYONYESHAJI DUNIANI

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar Taasisi binafsi zimeshauriwa kutoa Likizo kwa Wafanyakazi wao pale wanapojifungua ili wapate muda wa kutosha wa kuwanyonyesha Watoto wao. Kufanya hivyo kutasaidia makuzi mema kwa Watoto hao sambamba na kuwaepushia magonjwa ambayo sio ya ulazima katika maisha yao. Ushauri huo umetolewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Khamis Jabir Makame kwa Niaba ya Waziri wa Afya katika hafla ya kilele cha Wiki ya Unyonyeshaji bora kwa watoto iliyofanyika kitaifa...

 

10 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI

Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdallah Mwinyi Khamis ambae ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani akitizama Mkoba na bidhaa zilizotengenezwa na Wazee wa Zanzibar, Huko Dole Wilaya ya Magharibi.Baadhi ya wageni waalikwa katika siku ya wazee Duniani. Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani iliyoadhimishwa leo huko Dole Wilaya ya Magharibi. Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa jamii, Vijana wanawake na Watoto,Asha Ali Abdallah akimkaribisha...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA SARATANI DUNIANI, ZANZIBAR

 Mwandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Nd. Abdi Shamna akiuliza swali kuhusiana na Tenzi Dume wakati wa maadhimisho hayo.

 Naibu Waziri wa Afya Mhe. Mahamoud Thabit Kombo akizunguza na wajumbe na waandishi wa habari jinsi ya kuwaelimisha wananchi juu ya kupambana na ugonjwa huo.

 Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Saratani Zanzibar Bi. Mwanahamisi Moh’d Abdalla ambae pia ni muhanga wa ugonjwa wa Saratani akitoa ufafanuzi jinsi alivyopambana na...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA KANSA DUNIANI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed amabe ni Mgeni Rasmin katika siku ya Cancer Duniani iliyo adhimishwa jana 04/2/2014 ofisini kwao Mpendae (kulia) Dkt. Msafiri Marijani ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Mwenyeki wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Dkt. Msafiri Marijani akitoa maelezo juu ya ukonjwa hatari wa Cancer katika madhimisho ya siku Cancer Duniani iliyoadhimishwa jana Mpendae Zanzibar. Baadhi ya wananchi waliohudhuria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani