Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kero hospitali zamkera Pinda

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezitaka hospitali nchini kuacha karaha ambazo huwafanya wagonjwa hasa wa figo kuondoka kabla ya kupatiwa matibabu. Alitoa kauli hiyo juzi mjini hapa wakati wa maadhimisho ya siku ya afya ya figo duniani iliyofanyika katika viwanja wa Mwalimu Nyerere.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mbunge ajipa miezi 6 kero ya shuka hospitali

MBUNGE wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka ameahidi kumaliza tatizo la shuka katika Hospitali ya Rufaa ya Kitete, mkoani Tabora katika kipindi cha miezi sita ijayo.

 

10 years ago

GPL

BUSEGA: UBOVU WA MIUNDOMBINU, UDUNI WA HOSPITALI NI KERO!

BUSEGA ni miongoni mwa majimbo yanayopatikana ndani ya mkoa mpya wa Simiyu. Awali, jimbo hili lilikuwa ndani ya Mkoa wa Mwanza kabla ya mgawanyo wa mikoa uliofanyika siku za hivi karibuni. Mhe. Dk. Titus Dismas Mlengeya Kamani. Busega ni jimbo linalowakilishwa na Mhe. Dk. Titus Dismas Mlengeya Kamani ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi. Kabla ya hapo, Busega iliongozwa na Mhe. Dk. Raphael Chegeni. Katika...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI ATEMBELEA WAGONJWA WA HOSPITALI YA TENGERU NA KUWASIKILIZA KERO ZAO

Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto
wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalinUbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto
wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda amtembelea mbunge Vita Kawawa anayepatiwa matibabu hospitali ya AMI jijini Dar

PG4A8390

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. Kushoto ni mke wa mbunge huyo, Siwa Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A8411

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Habarileo

Serikali 3 zamkera Kingunge

MWANASIASA wa siku nyingi na muumini wa siasa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru, amesema Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba imeangaliza zaidi kero za Muungano katika kudai Serikali tatu, hali ambayo inavunja Muungano.

 

10 years ago

Habarileo

Semina, warsha zamkera Kinana

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehoji katazo la semina, warsha na kongamano yasiyokuwa na tija kwa watumishi wa umma, kwamba halitekelezeki kama lilivyoagizwa na viongozi waandamizi wa taifa hili.

 

11 years ago

Habarileo

Taarifa za wahariri kununuliwa zamkera RC

SERIKALI imeelezea kusikitishwa kwake na kuwapo kwa taarifa za baadhi ya vyombo vya habari pamoja na wahariri wake kununuliwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Nyasi U/Taifa zamkera Kerr

dylanker-haiphongNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema wachezaji wake walicheza vizuri dhidi ya Azam FC juzi licha ya kukosa mabao mengi ya wazi yaliyowanyima ushindi na kudai kuwa timu hiyo ilitakiwa kufunga mabao manne kipindi cha kwanza.

Simba wanaoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, juzi walilazimishwa sare ya 2-2 na vinara wa ligi hiyo Azam katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwingereza huyo alisema jambo jingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani