Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUSEGA: UBOVU WA MIUNDOMBINU, UDUNI WA HOSPITALI NI KERO!

BUSEGA ni miongoni mwa majimbo yanayopatikana ndani ya mkoa mpya wa Simiyu. Awali, jimbo hili lilikuwa ndani ya Mkoa wa Mwanza kabla ya mgawanyo wa mikoa uliofanyika siku za hivi karibuni. Mhe. Dk. Titus Dismas Mlengeya Kamani. Busega ni jimbo linalowakilishwa na Mhe. Dk. Titus Dismas Mlengeya Kamani ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi. Kabla ya hapo, Busega iliongozwa na Mhe. Dk. Raphael Chegeni. Katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yajitetea ubovu miundombinu

Wizara ya Ujenzi imesema kuwa asilimia kubwa ya miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko haikujengwa chini ya kiwango kama inavyodaiwa, bali ni matokeo ya uharibifu wa mazingira.

 

10 years ago

GPL

MTWARA: UBOVU WA MIUNDOMBINU CHANZO CHA MAFURIKO

Na Sijawa Omary/Uwazi
Mtwara Mjini ni miongoni mwa wilaya tano zinazounda Mkoa wa Mtwara uliopo Kusini Mashariki mwa nchi ya Tanzania. Upande wa Kaskazini, Mtwara Mjini inapakana na Mkoa wa Lindi, Mashariki kuna Bahari ya Hindi na Kusini na Magharibi kuna Wilaya ya Mtwara Vijijini. Mheshimiwa Hasnain Mohamed Murji. Pia Mtwara Mjini ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Hasnain Mohamed Murji kwa tiketi ya Chama cha...

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive mvua ya siku 3 Dar: Jiji lasimama, miundombinu kero tupu kila kona

Na Andrew Chale, Modewji blog

Kufuatia mvua kubwa  inayoendelea kunyesha kwa siku ya tatu leo imeendelea kusababisha uharibifu wa miundombinu  mingi ya jiji la Dar es Salaam kuharibika vibaya huku mingine ikifungwa kwa kushindwa kutumika hasa kwa magari yaingiayo katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Modewji blog  imeshuhudia maeneo kadhaa  katikati ya jiji na maeneo  mengineo ya nje ya jiji yakiwa katika ubovu mkubwa hata magari kupita kwa taabu na mengine kuzama katika madimbwi.

 Baadhi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kero hospitali zamkera Pinda

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezitaka hospitali nchini kuacha karaha ambazo huwafanya wagonjwa hasa wa figo kuondoka kabla ya kupatiwa matibabu. Alitoa kauli hiyo juzi mjini hapa wakati wa maadhimisho ya siku ya afya ya figo duniani iliyofanyika katika viwanja wa Mwalimu Nyerere.

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge ajipa miezi 6 kero ya shuka hospitali

MBUNGE wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka ameahidi kumaliza tatizo la shuka katika Hospitali ya Rufaa ya Kitete, mkoani Tabora katika kipindi cha miezi sita ijayo.

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI ATEMBELEA WAGONJWA WA HOSPITALI YA TENGERU NA KUWASIKILIZA KERO ZAO

Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto
wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalinUbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto
wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika...

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI WODI YA WAZAZI NA MIUNDOMBINU YA MAJI ILIYOKARABATIWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA, ILALA

 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ilala, Jesca Njau (kushoto) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi wodi ya watoto wachanga Katika Hospitali ya Rufaa ya Amana Ilala iliyokarabatiwa kwa msaada kampuni hiyo, Dar es Salaam jana.  Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Daktari Bingwa wa Watoto wa Hospitali hiyo, Dk. Mtagi Kibatala, Mhandisi wa TBL, John Malisa na Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Dk. Meshack Shimwela. TBL ilitumia sh. mil. 68 kukarabati wodi hiyo na miundombinu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani