Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exclusive mvua ya siku 3 Dar: Jiji lasimama, miundombinu kero tupu kila kona

Na Andrew Chale, Modewji blog

Kufuatia mvua kubwa  inayoendelea kunyesha kwa siku ya tatu leo imeendelea kusababisha uharibifu wa miundombinu  mingi ya jiji la Dar es Salaam kuharibika vibaya huku mingine ikifungwa kwa kushindwa kutumika hasa kwa magari yaingiayo katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Modewji blog  imeshuhudia maeneo kadhaa  katikati ya jiji na maeneo  mengineo ya nje ya jiji yakiwa katika ubovu mkubwa hata magari kupita kwa taabu na mengine kuzama katika madimbwi.

 Baadhi ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania ilivyowarusha wateja wake kila kona ya jiji la Dar

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Gwiji wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz akiwapagawisha mashabiki wa muziki wake katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Msanii wa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KONA YA JIJI LA DAR‏

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu  Mzee Yusuf  akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.…

 

11 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KERO KWA WAKAZI WA JIJINI DAR SIKU YA JANA

Mafuriko yaliyojitokeza jana Tegeta picha zote za juu. …

 

10 years ago

GPL

KAENI CHONJO OFM YATEGA KAMERA KILA KONA YA JIJI!

Mwandishi Wetu
KITENGO maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers ambacho kimeendelea kujiimarisha kiutendaji, katika kuhakikisha kinafanya kazi yake ipasavyo, sasa imetega kamera kupitia mapaparazi wake ambao watakuwa wakizunguka kila kona ya Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, Risasi Mchanganyiko linakubapa kinaga ubaga. Padri wa Moshi alipofumaniwa na kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Maovu...

 

11 years ago

Michuzi

Michuzi Blog Exclusive: Taswira za wajumbe wanaopiga tizi kila siku asubuhi

Profesa Mark Mwandosya akila tizi mapema asubuhi hii mjini Dodoma. Ameiambia Globu ya Jamii kwamba yeye bila kukimbia asubuhi na jioni mwili humuwasha sana na hafanyi kazi vizuri. Kila siku anakimbia kilomita 2. Pia yeye ana mkanda wa kahawia wa Goju Ryu Karate, hivyo yuko fiti Kamera yetu pia imewakamata Mhe. Cynthia Ngoye na Mhe.Amina Makilagi,Wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba wakifanya mazoezi ya kutembea mapema leo mjini Dodoma. Mhe. Ngoye ametuambia kwamba wao hutembea umbali wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamari za soka gumzo kila kona Dar

>Ni dhahiri sasa michezo ya kubahatisha hapa nchini imeshika kasi kutokana na ongezeko la vituo vya kamari ya soka maarufu kama ‘kubeti’.

 

10 years ago

Mwananchi

Hivi kero za mvua zitaisha lini Dar?

Kwa kawaida mvua ni neema kutokana na faida nyingi inazoleta kwa jamii, hasa kwa nchi maskini kama Tanzania ambazo hutegemea sana kilimo ambacho hakijaendelezwa sana kiasi cha kuwa cha kisasa kwa sehemu kubwa ya nchi.

 

10 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KERO KWA WANANCHI DAR

Watembea kwa miguu wakipita kwa tabu eneo la Afrika-Sana. Magari pamoja na Bajaj zikionekana kupita kwa tabu eneo la Afrika-Sana Eneo la Bamaga…

 

10 years ago

GPL

MVUA YAGEUKA KERO KUBWA KWA WAKAZI WA DAR

Soko la Mchikichini, Ilala-Boma linavyoonekana kufuatia mvua za sasa Maji yalivyotapakaa soka la Sinza Afrika-Sana. Wakazi wa Mwanayamala-Mkwajuni wakitoa maji katika nyumba zao.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani