Michuzi Blog Exclusive: Taswira za wajumbe wanaopiga tizi kila siku asubuhi
![](http://1.bp.blogspot.com/-K4NL0soAiIE/UyFPZwZzTOI/AAAAAAAFTPc/s0xfHLsZv5g/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Profesa Mark Mwandosya akila tizi mapema asubuhi hii mjini Dodoma. Ameiambia Globu ya Jamii kwamba yeye bila kukimbia asubuhi na jioni mwili humuwasha sana na hafanyi kazi vizuri. Kila siku anakimbia kilomita 2. Pia yeye ana mkanda wa kahawia wa Goju Ryu Karate, hivyo yuko fiti
Kamera yetu pia imewakamata Mhe. Cynthia Ngoye na Mhe.Amina Makilagi,Wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba wakifanya mazoezi ya kutembea mapema leo mjini Dodoma. Mhe. Ngoye ametuambia kwamba wao hutembea umbali wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi25 Nov
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-S7uVR4pOCu4/VetNQ3plQFI/AAAAAAAH2hQ/5kLlT0hl9Xs/s72-c/a1.jpg)
MICHUZI BLOG EXCLUSIVE: JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA AFANYIWA SHEREHE YA KUSTUKIZWA YA MIAK 75 YA KUZALIWA NA WATOTO NA WAJUKUU WAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-S7uVR4pOCu4/VetNQ3plQFI/AAAAAAAH2hQ/5kLlT0hl9Xs/s640/a1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-E_P2ZiHsVno/VetNQ8U3KeI/AAAAAAAH2hU/vaoe1jK1txM/s640/a2%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/8rOh5xT-qzI/default.jpg)
10 years ago
Michuzi17 Jun
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/U5iV4xqw45M/default.jpg)
MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG MJUE MICHUZI ALIKOTOKEA NA UPIGAJI PICHA
Hii Video ililekodiwa mwaka 2011 ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC
10 years ago
Dewji Blog07 May
Exclusive mvua ya siku 3 Dar: Jiji lasimama, miundombinu kero tupu kila kona
Na Andrew Chale, Modewji blog
Kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha kwa siku ya tatu leo imeendelea kusababisha uharibifu wa miundombinu mingi ya jiji la Dar es Salaam kuharibika vibaya huku mingine ikifungwa kwa kushindwa kutumika hasa kwa magari yaingiayo katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Modewji blog imeshuhudia maeneo kadhaa katikati ya jiji na maeneo mengineo ya nje ya jiji yakiwa katika ubovu mkubwa hata magari kupita kwa taabu na mengine kuzama katika madimbwi.
Baadhi ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HyZaQLJXKco/VVysFguTX8I/AAAAAAAHYkM/TXuFMr5OnB8/s72-c/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
Wateja wote wa Vodacom Tanzania kuperuzi intaneti bure kwa masaa 2 kila siku asubuhi
![](http://1.bp.blogspot.com/-HyZaQLJXKco/VVysFguTX8I/AAAAAAAHYkM/TXuFMr5OnB8/s640/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata taarifa kupitia mtandao wa intaneti.Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/rUDlVpA4AYo/default.jpg)