Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHUZI BLOG EXCLUSIVE: JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA AFANYIWA SHEREHE YA KUSTUKIZWA YA MIAK 75 YA KUZALIWA NA WATOTO NA WAJUKUU WAKE

 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ijumaa usiku alijikuta anapigwa  butwaa baada ya kurudi nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam na kukuta bango hilo mbele yake ambapo  watoto na wajukuu wake walikuwa wamemuandalia sherehe ya kuzaliwa kwake ya miaka 75 (suprise Birthday Party) bila ya yeye mwenyewe kujua Jaji Warioba na mkewe walijikuta wanashangaa zaidi kukuta kumbe watoto na wajukuu sio tu wameandaa Birthday party yake bali pia sala maalumu ya kushukuru kwa kufikisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA KESHO JUMANNE

 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwa na Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani baada ya kuwasili bungeni mjini Dodoma na muda mfupi kabla ya kuanza  kuwasilisha rasimu ya Katiba Mpya.   Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba  wakiwa wamesimama kupinga Jaji Joseph Warioba asiwasilishe rasimu ya katiba huku wakipiga kelele na kugomga meza.
 Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba  wakiwa wamesimama kupinga Jaji Joseph Warioba asiwasilishe rasimu ya katiba 

 

11 years ago

The Africa Report

Tanzania: Joseph Sinde Warioba and the Union


Tanzania: Joseph Sinde Warioba and the Union
The Africa Report
Joseph Sinde Warioba. Photo©RobertoKanda.blogspot.fr Joseph Sinde Warioba, Tanzania's former Prime Minister has fallen foul of President Jakaya Kikwete after surveying what people want from a new constitution. Based on his findings, he proposed a ...

 

11 years ago

Michuzi

MSIKILIZE JAJI JOEPH SINDE WARIOBA AKIWASILISHA RASIMU YA KATIBA MJINI DODOMA LIVE!

 JAJI JOEPH SINDE WARIOBA AKIWAKILISHA RASIMU YA KATIBA MJINI DODOMA HIVI SASA  LIVE! BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

Michuzi Blog Exclusive: Taswira za wajumbe wanaopiga tizi kila siku asubuhi

Profesa Mark Mwandosya akila tizi mapema asubuhi hii mjini Dodoma. Ameiambia Globu ya Jamii kwamba yeye bila kukimbia asubuhi na jioni mwili humuwasha sana na hafanyi kazi vizuri. Kila siku anakimbia kilomita 2. Pia yeye ana mkanda wa kahawia wa Goju Ryu Karate, hivyo yuko fiti Kamera yetu pia imewakamata Mhe. Cynthia Ngoye na Mhe.Amina Makilagi,Wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba wakifanya mazoezi ya kutembea mapema leo mjini Dodoma. Mhe. Ngoye ametuambia kwamba wao hutembea umbali wa...

 

9 years ago

GPL

SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG‏

Ndugu zangu,   KILA jambo la nafsiri yake. Maadhimisho ya Miaka Kumi ya uwepo wa Michuziblog hayawezi kupita bila kutafutiwa tafsiri yake.   Kwanza kabisa, kwa niaba ya wajumbe wangu wote, nichukue fursa hii kumpa pongezi za dhati ndugu yangu Kaka Muhidin Issa Michuzi kwa mafanikio makubwa aliyoyapata na pia mchango wake mkubwa alioutoa kwa Wanablogu wengine, nikiwamo mimi.   Muhidin Michuzi ataingia kwenye vitabu vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani