Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAENI CHONJO OFM YATEGA KAMERA KILA KONA YA JIJI!

Mwandishi Wetu
KITENGO maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers ambacho kimeendelea kujiimarisha kiutendaji, katika kuhakikisha kinafanya kazi yake ipasavyo, sasa imetega kamera kupitia mapaparazi wake ambao watakuwa wakizunguka kila kona ya Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, Risasi Mchanganyiko linakubapa kinaga ubaga. Padri wa Moshi alipofumaniwa na kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Maovu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Hongera ukawa, lakini kaeni chonjo

OKTOBA 26, mwaka huu, vyama vinne vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeweka historia kwa kusaini makubaliano yatakayotumiwa na vyama vyao kutimiza malengo yao kisiasa. Umoja huo...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania ilivyowarusha wateja wake kila kona ya jiji la Dar

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Gwiji wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz akiwapagawisha mashabiki wa muziki wake katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Msanii wa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KONA YA JIJI LA DAR‏

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu  Mzee Yusuf  akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive mvua ya siku 3 Dar: Jiji lasimama, miundombinu kero tupu kila kona

Na Andrew Chale, Modewji blog

Kufuatia mvua kubwa  inayoendelea kunyesha kwa siku ya tatu leo imeendelea kusababisha uharibifu wa miundombinu  mingi ya jiji la Dar es Salaam kuharibika vibaya huku mingine ikifungwa kwa kushindwa kutumika hasa kwa magari yaingiayo katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Modewji blog  imeshuhudia maeneo kadhaa  katikati ya jiji na maeneo  mengineo ya nje ya jiji yakiwa katika ubovu mkubwa hata magari kupita kwa taabu na mengine kuzama katika madimbwi.

 Baadhi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono

Lowassa_Babati2

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).

Lowassa_Babati1

Lowassa_hotuba Manyara

Lowassa_Daniel Opurukwa

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL IKIRANDARANDA MITAA YA JIJI LA DAR

Feri ya Mv Kigamboni ikiwa mzigoni. Abiria wakitoka maeneo ya Kigamboni wakishuka kutoka kwenye Feri.…

 

11 years ago

GPL

BARABARA ZA JIJI LA DAR KATIKA KAMERA YA GLOBAL

Askari wa usalama barabarani akitimiza majukumu yake eneo la Fire.
Foleni ni sehemu ya maisha ya wakazi wa Dar hapa ni maeneo ya Fire. Eneo la Mtaa wa Fire ambalo limejaa maji.…

 

10 years ago

GPL

KAMERA YA GPL KATIKA MITAA YA JIJI LA DAR

Pea mbalimbali za viatu zikiwa zimening’inizwa kwenye waya wa umeme, kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wakazi wa eneo hilo la Mkwajuni Kinondoni.
Baiskeli ya magurudumu matatu (guta) ikiwa imebeba vipande vya maeneo ya Buguruni, Dar.…

 

11 years ago

GPL

JIJI LA DAR LILIVYOKUTWA NA KAMERA YA GLOBAL LEO

Maji yakiwa yamejaa barabarani maeneo ya Manzese jijini Dar kutokana na mvua.   Kazi ya ujenzi ikiendelea Barabara ya Morogoro kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani