KAMERA YA GPL KATIKA MITAA YA JIJI LA DAR
Pea mbalimbali za viatu zikiwa zimening’inizwa kwenye waya wa umeme, kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wakazi wa eneo hilo la Mkwajuni Kinondoni. Baiskeli ya magurudumu matatu (guta) ikiwa imebeba vipande vya maeneo ya Buguruni, Dar.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKAMERA YA GPL KATIKA MITAA TOFAUTI YA JIJI LA DAR
Athari za mafuriko maeneo ya Ubungo-Extenal. Dereva akiangalia namna ya kupita eneo hili ambapo barabara inatengenezwa.…
10 years ago
GPLMTANDO WA GPL WATEMBELEA MITAA YA JIJI LA DAR
Taswira ya tukio zima la magari madogo yaliyogongana bila kusababisha majeruhi yeyote.  Taka ngumu zikiwa zimekwama katika mfereji wa kiwanda…
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL IKIRANDARANDA MITAA YA JIJI LA DAR
Feri ya Mv Kigamboni ikiwa mzigoni. Abiria wakitoka maeneo ya Kigamboni wakishuka kutoka kwenye Feri.…
11 years ago
GPLBARABARA ZA JIJI LA DAR KATIKA KAMERA YA GLOBAL
Askari wa usalama barabarani akitimiza majukumu yake eneo la Fire.
Foleni ni sehemu ya maisha ya wakazi wa Dar hapa ni maeneo ya Fire. Eneo la Mtaa wa Fire ambalo limejaa maji.…
10 years ago
GPLKAMERA YA GPL JIJINI DAR LEO
Jamaa huyu alinaswa na kamera yetu maeneo ya Ubungo akicheza na kuimba barabarani. Wahudumu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), wakimsaidia mama mmoja kwa kumuingiza kwenye Bajaj. KAMERA ya GPL leo imewashuhudia wahudumu wa Kanisa la…
10 years ago
MichuziUchaguzi Serikali za Mitaa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam
Mkazi wa karikoo Mashariki Kata ya Kariakoo Bw. Fumbuka Ditopile akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba ,kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa Mitaa akiwemo Mwenyekiti na Wajumbe leo jijini Dar es Salaam. Mkazi wa karikoo Mashariki Kata ya Kariakoo akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba Msimamizi wa upigaji kura, Mwalimu Lucy Buzuka akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo...
10 years ago
GPL11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL INAPOVINJARI MITAA YA DAR ES SALAAM
Eneo lililojaa taka ambalo ni moja ya njia wanazotumia wananchi wa sehemu za Yombo-Kilakala. Hii ni sehemu iliyoathiriwa na maji ya mvua sehemu za Yombo. Tatizo la foleni…
11 years ago
GPLJIJI LA DAR LILIVYOKUTWA NA KAMERA YA GLOBAL LEO
Maji yakiwa yamejaa barabarani maeneo ya Manzese jijini Dar kutokana na mvua.  Kazi ya ujenzi ikiendelea Barabara ya Morogoro kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania