KAMERA YA GPL JIJINI DAR LEO
Jamaa huyu alinaswa na kamera yetu maeneo ya Ubungo akicheza na kuimba barabarani. Wahudumu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), wakimsaidia mama mmoja kwa kumuingiza kwenye Bajaj. KAMERA ya GPL leo imewashuhudia wahudumu wa Kanisa la…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxb-xReLCWOW1Udzb9D6ysVee7NRiRzhV*3BC5nfkMjClflG8cTtp6BtDwSzZdjjWJd0jNBMNhBq06BgTgIfXYM3/viatu.jpg?width=650)
KAMERA YA GPL KATIKA MITAA YA JIJI LA DAR
Pea mbalimbali za viatu zikiwa zimening’inizwa kwenye waya wa umeme, kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wakazi wa eneo hilo la Mkwajuni Kinondoni.
Baiskeli ya magurudumu matatu (guta) ikiwa imebeba vipande vya maeneo ya Buguruni, Dar.…
11 years ago
GPLKAMERA YA GPL KATIKA MITAA TOFAUTI YA JIJI LA DAR
Athari za mafuriko maeneo ya Ubungo-Extenal. Dereva akiangalia namna ya kupita eneo hili ambapo barabara inatengenezwa.…
10 years ago
GPL11 years ago
GPLKAMERA YETU JIJINI DAR
Hapa ni karibu na ofisi za Shirika la Maendeleo la Tiafa (NDC) ambapo inaonekana ujenzi wa barabara ya mabasi yaendeyo kasi unaendelea kwa kasi. Magari yakipeleka mifuko ya saruji kwa ajili ya kuendeleza ujenzi karibu na Kanisa la Katoliki la Mt. Joseph Barabara ya Sokoine.…
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL ILIVYOJICHIMBIA SEHEMU MBALIMBALI JIJINI DAR
Mhubiri wa kidini aliyejulikana kama Hosea Cha Mungu akihubiri sehemu za Ubungo ambako alidai aliwahi kukutana na mwigizaji, marehemu Steven Kanumba huko Lagos, Nigeria kabla hajafa. Wasikilizaji wa hotuba ya Cha Mungu wakionyeshwa baadhi ya picha za wafuasi wa madhehebu ya Freemason.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqpUCgPUt5gcjtcjAClkX2n76kh-n6z0KyXjh9rrR5RkGgNnbbjLG-2mGKa9ScE5lRy8jpeqHAjDd0SMvX6VkPCj/11.jpg?width=650)
JIJI LA DAR LILIVYOKUTWA NA KAMERA YA GLOBAL LEO
Maji yakiwa yamejaa barabarani maeneo ya Manzese jijini Dar kutokana na mvua.  Kazi ya ujenzi ikiendelea Barabara ya Morogoro kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpxbeg8Ff6O1se*Jr*DWXcOq7oZo2qydkgbd7AO8wsFBJXFwRclJ5xCtmXTOW5w6ItkazjXPY6j-vq9GoUGqA1GW/nipeeeee.jpg?width=750)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPwCG2HLmkx6QhMkif4SH*QFuWd1LRCCej-vcJxd4HUK6USZFjjnoHhoAoZUOdTwl-1B7m8bNaIIINIi5JrQsjQ8/Kaziinadawa.jpg?width=750)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/BACK-WIKIENDA-MSIBA.jpg)
JIPATIE NAKALA YAKO YA MAGAZETI YA GPL LEO
MAGAZETI HAYA PIA YANAPATIKANA BURE KUPITIA SIMU YAKO KWA KUDOWNLOAD APP YA M-PAPER AU INGIA HAPA: …
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania