TBL YAKABIDHI WODI YA WAZAZI NA MIUNDOMBINU YA MAJI ILIYOKARABATIWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA, ILALA
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ilala, Jesca Njau (kushoto) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi wodi ya watoto wachanga Katika Hospitali ya Rufaa ya Amana Ilala iliyokarabatiwa kwa msaada kampuni hiyo, Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Daktari Bingwa wa Watoto wa Hospitali hiyo, Dk. Mtagi Kibatala, Mhandisi wa TBL, John Malisa na Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Dk. Meshack Shimwela. TBL ilitumia sh. mil. 68 kukarabati wodi hiyo na miundombinu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-mZ48IG5CYlc/XqX1cCOMSlI/AAAAAAAAnZ0/KtZ58Sy6YfoxvJGO7s85VOgADlWmrHu4QCLcBGAsYHQ/s72-c/4..jpg)
MUHIMBILI YAIWEZESHA HOSPITALI YA RUFAA AMANA MASHINE ZA MILIONI 306
![](https://1.bp.blogspot.com/-mZ48IG5CYlc/XqX1cCOMSlI/AAAAAAAAnZ0/KtZ58Sy6YfoxvJGO7s85VOgADlWmrHu4QCLcBGAsYHQ/s400/4..jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-G-R0jL6B3P4/XqX1cPdUAFI/AAAAAAAAnZ4/MWu1-MsFBAU0mAuF_26oiGY7vUG7LsNHACLcBGAsYHQ/s400/5..jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-XdQ4zR-Lbg4/XqX1cKNzeXI/AAAAAAAAnZ8/bnJ2j9LzYG8ENO-kgbqAbkeCfQNGKfJ_wCLcBGAsYHQ/s400/6..jpg)
11 years ago
GPLWODI YA WAZAZI HOSPITALI YA MWANANYAMALA WAKABIDHIWA VIFAA
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
TBL yatoa sh. mil 18 za kusaidia ukarabati wa miundombinu iliyoharibika soko la Machinga Ilala, Dar
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner Taluka (wa pili kushoto) kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu ya maji iliyoharibika baada ya Soko la Mchikichini Ilala kuteketea kwa moto. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa soko hilo, Rehema Matali, Mjumbe wa Kamati ya...
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
TBL yakabidhi mradi wa maji
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye thamani ya Sh. milioni 69 kwa wakazi wa kata za Yombo Vituka na Mwembe Ladu, Manispaa ya Temeke.
Akizungumza baada ya kuzindua na kukabidhi kisima hicho kwa uongozi wa Serikali ya Mtaa, Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu, alisema mradi huo ni sehemu ya kusaidia jamii kuondokana na kero ya majisafi na salama.
Alisema TBL kupitia kaulimbiu ya 'bila maji hakuna uhai,’ imelenga kuhakikisha jamii inaondokana na kero ya...
11 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI MJI MDOGO WA TUNDUMA
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
TBL yakabidhi kisima cha maji zahanati ya Makuburi, Dar
Mganga Mkuu wa Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo (kulia), akijaribu kufungua bomba la maji, baada ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto), kukata utepe kuzindua kisima cha maji kilichojengwa kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni watendaji wa Mtaa wa mwongozo. (Na Mpigapicha Wetu)
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwongozo, Dar es Salaam, Bw. James Ngoitanile (wa nne kushoto), akifurahia...
10 years ago
MichuziTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI JIMBO LA MPENDAE,ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
TBL yakabidhi msaada wa kisima cha maji jimbo la Mpendae, Zanzibar
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Said Mohammed Dimwa akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima cha maji kwa wananchi wa Mpendae kilichochimbwa kwa udhamini wa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akigongeana glasi za maji na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mpendae baada ya uzinduzi wa kisima kilichochimbwa kwa msaada na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika Jimbo...