Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA MWANANYAMALA WAKABIDHIWA VIFAA

Wauguzi wa Hospitali ya Mwananyamala wakifurahi baada ya kukabidhiwa vifaa maalumu kwa ajili ya huduma ya uzalishaji. Baadhi ya manesi wakiwa na mwakilishi wa Upendo Women's Group Belgium baada ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya kupunguza matatizo ya kina mama wajawazito…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Exim yaisaidia wodi ya wazazi Mwananyamala

BENKI ya Exim ya Tanzania imeadhimisha Sikukuu ya Mama Duniani kwa kuchangia magodoro 60 katika wodi ya wazazi ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam. Kwa sasa, hospitali hiyo ambayo...

 

10 years ago

Vijimambo

M/KITI WA TAWI LA CCM CALIFORNIA ATEMBELEA WODI YA KINA-MAMA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

M/kiti tawi la California B. Josephine M. akikabidhi mojawapo ya zawadi na vifaa mbali mbali kwa wamama takribani sitini katika hospitali hiyo iliyopo katika wilaya ya Kinondoni. Bi Josephine alifarijika kwa shukurani tele kutoka kwa akina mama hao waliomshukuru na kufarijika kwa kutembelewa na kiongozi huyo. Ziara ya Bi Josephine ilifanyika mwishoni mwa-mwezi wa pili mwaka huu. 

Ni raha kubwa ilioje mmoja wakina mama akipatiwa blanketi la mtoto kutoka kwa B. Josephine.

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI WODI YA WAZAZI NA MIUNDOMBINU YA MAJI ILIYOKARABATIWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA, ILALA

 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ilala, Jesca Njau (kushoto) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi wodi ya watoto wachanga Katika Hospitali ya Rufaa ya Amana Ilala iliyokarabatiwa kwa msaada kampuni hiyo, Dar es Salaam jana.  Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Daktari Bingwa wa Watoto wa Hospitali hiyo, Dk. Mtagi Kibatala, Mhandisi wa TBL, John Malisa na Mganga Mkuu wa hospitali hiyo, Dk. Meshack Shimwela. TBL ilitumia sh. mil. 68 kukarabati wodi hiyo na miundombinu...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa jana, Jumamosi, Februari 22, 2014, aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar Es Salaam.  Katika halfa hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam, Rais Kikwete pia ameahidi kuendeleza kuongoza jitihada za kupatikana kwa kiasi cha sh milioni 328...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bongo Movie wasaidia wodi ya kina mama Mwananyamala

BONGO Movie Club wametoa msaada katika wodi ya kina mama na watoto katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Msaada huo wa vitu mbalimbali zikiwamo nguo za watoto,...

 

9 years ago

Michuzi

PANAFRICAN ENERGY YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI YA WILAYA KINYONGA KILWA KIVINJE NA KUKARABATI WODI ZA UZAZI NA CHUMBA MAALUM CHA UANGALIZI WA AKINA MAMA

Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki  (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi  ya ujenzi wa nyumba ya mama ngojea  katika hospital ya Kinyonga  na ukarabati wa wodi  ya uzazi  mara baada ya kumaliza kusaini mikataba hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jana Kilwa Kivinje.Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki(wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ULINZI YA SGA YATOA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMULIA NA MASHUKA WODI YA WATOTO MWANANYAMALA

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ulinzi ya Security Group Africa (SGA), Eric Sambu (kulia) akimkabidhi mshine ya kupumulia na mashuka, Mratibu wa Tiba katika Hospitali ya Mwananyamala, Dk Daniel Nkungu. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki. Katikati yao ni Meneja Mahusiano kwa wateja wa SGA, Sophia Luhikula. Vitu vilivyotolewa msaada Hosipitalini hapo.Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ulinzi ya Security Group Africa (SGA), Eric Sambu (kulia) akimkabidhi mshine ya kupumulia na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kunguni watesa wodi ya wazazi

WODI ya wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora inakabiliwa na matatizo ya wadudu aina ya kunguni. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika wodi hiyo, mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani