Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTWARA: UBOVU WA MIUNDOMBINU CHANZO CHA MAFURIKO

Na Sijawa Omary/Uwazi
Mtwara Mjini ni miongoni mwa wilaya tano zinazounda Mkoa wa Mtwara uliopo Kusini Mashariki mwa nchi ya Tanzania. Upande wa Kaskazini, Mtwara Mjini inapakana na Mkoa wa Lindi, Mashariki kuna Bahari ya Hindi na Kusini na Magharibi kuna Wilaya ya Mtwara Vijijini. Mheshimiwa Hasnain Mohamed Murji. Pia Mtwara Mjini ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Hasnain Mohamed Murji kwa tiketi ya Chama cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KUTOSAFISHA MIUNDOMBINU CHANZO CHA MAFURIKO BUKOBA

Na Abdullatif  Yunus  Michuzi TV.MVUA zinazoendelea kunyesha maeneo mengi nchini zimeendelea kuibua hisia na maswali kwa wengi, huku baadhi ya maeneo yakifurika Maji na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa maeneo husika ikiwa ni sambamba na uharibifu wa Mali na miundo mbinu.
Hali kama hiyo inaonekana kujitokeza mara kwa mara katika viunga vya Manispaa ya Bukoba kufuatia kutosafishwa mara kwa mara baadhi ya mifereji, pamoja na mkondo wa Maji wa Mto Kanoni unaotirikia kuelekea Ziwa Victoria,...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yajitetea ubovu miundombinu

Wizara ya Ujenzi imesema kuwa asilimia kubwa ya miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko haikujengwa chini ya kiwango kama inavyodaiwa, bali ni matokeo ya uharibifu wa mazingira.

 

10 years ago

GPL

BUSEGA: UBOVU WA MIUNDOMBINU, UDUNI WA HOSPITALI NI KERO!

BUSEGA ni miongoni mwa majimbo yanayopatikana ndani ya mkoa mpya wa Simiyu. Awali, jimbo hili lilikuwa ndani ya Mkoa wa Mwanza kabla ya mgawanyo wa mikoa uliofanyika siku za hivi karibuni. Mhe. Dk. Titus Dismas Mlengeya Kamani. Busega ni jimbo linalowakilishwa na Mhe. Dk. Titus Dismas Mlengeya Kamani ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi. Kabla ya hapo, Busega iliongozwa na Mhe. Dk. Raphael Chegeni. Katika...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ILIVYOKUMBANA NA CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU WAKATI AKIELEKEA KUKAGUA UPANUZI WA CHANZO CHA MAJI RUVU CHINI

Gari ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Meck Sadicky likinasuliwa kwenye tope baada ya kukwama katika kijiji cha Mataya-Ruvu Chini,yote hiyo ikiwa ni sehemu ya changamoto ya Miundo mbinu hasa barabara,Wakati wakiongoza msafara wa Katibu MKuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa anakwenda kukagua chanzo cha Maji Ruvu chini na kujionea upanuzi wa chanzo hicho mapema jana jioni;wakati Ndugu Kinana alipokuwa akihimitimisha ziara yake ya siku tatu ndani ya wilaya ya Kinondoni,ziara hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUZINDUZUA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

 Mkurugenzi Mtendaji TPDC, Dkt. James Mataragio akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa miundombinu gesi asilia, Miundombinu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika eneo la Madimba Mkoani Mtwara tarehe 10 Oktoba 2015. Sehemu ya Kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo eneo la Madimba Mkoani Mtwara, eneo ambalo uzinduzi rasmi unatarajia kufanyika tarehe 10 Oktoba 2015.Sehemu ya...

 

9 years ago

Vijimambo

TEAM YA WASANII WA MABADILIKO WALETA MAFURIKO MTWARA

Msanii Walter Chilambo akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.Msanii Mkoloni akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.
Wananchi waliojitokeza katuka Tamasha la Mabadiliko ililofanyika mwishoni mwa...

 

10 years ago

Mwananchi

HOFU YA MAFURIKO: Mtoto mlemavu afungiwa darini miezi minne Mtwara

>Mtoto Abdul Mohamedi (13) ambaye ni mlemavu wa viungo, amelazimika kuishi darini kwa miezi minne mfululizo kukwepa kudhuriwa na mafuriko kutokana  mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Mtwara.

 

10 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaikumba Mtwara, nyumba 200 zazingirwa na maji, RC atoa saa 24 yaondolewe

Zaidi ya nyumba 200 zimezingirwa na maji katika Manispaa ya Mtwara Mikindani kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha hasara kubwa ambayo thamani yake bado  haijajulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani