Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyasi U/Taifa zamkera Kerr

dylanker-haiphongNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema wachezaji wake walicheza vizuri dhidi ya Azam FC juzi licha ya kukosa mabao mengi ya wazi yaliyowanyima ushindi na kudai kuwa timu hiyo ilitakiwa kufunga mabao manne kipindi cha kwanza.

Simba wanaoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, juzi walilazimishwa sare ya 2-2 na vinara wa ligi hiyo Azam katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwingereza huyo alisema jambo jingine...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Serikali 3 zamkera Kingunge

MWANASIASA wa siku nyingi na muumini wa siasa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru, amesema Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba imeangaliza zaidi kero za Muungano katika kudai Serikali tatu, hali ambayo inavunja Muungano.

 

11 years ago

Habarileo

Taarifa za wahariri kununuliwa zamkera RC

SERIKALI imeelezea kusikitishwa kwake na kuwapo kwa taarifa za baadhi ya vyombo vya habari pamoja na wahariri wake kununuliwa.

 

11 years ago

Habarileo

Kero hospitali zamkera Pinda

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezitaka hospitali nchini kuacha karaha ambazo huwafanya wagonjwa hasa wa figo kuondoka kabla ya kupatiwa matibabu. Alitoa kauli hiyo juzi mjini hapa wakati wa maadhimisho ya siku ya afya ya figo duniani iliyofanyika katika viwanja wa Mwalimu Nyerere.

 

10 years ago

Habarileo

Semina, warsha zamkera Kinana

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehoji katazo la semina, warsha na kongamano yasiyokuwa na tija kwa watumishi wa umma, kwamba halitekelezeki kama lilivyoagizwa na viongozi waandamizi wa taifa hili.

 

11 years ago

Habarileo

Lugha chafu Chalinze zamkera Lubuva

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vipo baadhi ya vyama vya siasa vinavyotumia lugha za chuki na zisizokuwa na staha katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani.

 

11 years ago

Habarileo

Siasa chafu Arusha zamkera Kikwete

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameelezea kukerwa na siasa chafu zinazofanyika Arusha ambazo zimeanza kuzorotesha uchumi wa mkoa huo na kutaka wananchi katika Wilaya ya Karatu wasiige mfano huo. Alisema hayo alipokuwa akizindua Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha, mjini Karatu jana.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi za ardhi mahakamani zamkera Prof. Tibaijuka

Profesa Anna TibaijukaMLUNDIKANO wa kesi katika mahakama, mivutano ya ardhi baina ya viongozi na watendaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani hapa, vimesababisha kusimama na kuchelewesha kupimwa mji wa Lindi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je utanunua simu iliyotengezwa na Nyasi ?

Watu wengi wamekuwa wakilalamikia teknolojia na ufundi wa simu nyingi kwa misingi kuwa asilimia kubwa inatengezwa kwa plastiki.Sasa kuna simu ya Nyasi

 

11 years ago

GPL

KANISA LA WALA NYASI LAIBUKA!

Stori: Mwandishi Wetu
KUNA mengi ambayo yamekuwa yakizungumzwa kuhusu huduma za watumishi mbalimbali wa kiroho, moja wapo ni hili la kuanzishwa kanisa la wala nyasi nchini. Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa kanisa hilo lipo maeneo ya Upanga jijini Dar na huduma yao inafanywa kwa kutumia jina la Rabboni Centre Ministries yenye makao yake makuu jijini Pretoria, Afrika Kusini. Gazeti hili lilifika Upanga, kwenye nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani