KANISA LA WALA NYASI LAIBUKA!
![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO4QU5UAfbiL0iUjnAiHOKAI*MQqfF8*BKtFLqcTRb4ZDNC9JF2nZtSp1k9D70AaMAf5qVSQ8K2BJWUZwOcbMPag/nyasi.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu KUNA mengi ambayo yamekuwa yakizungumzwa kuhusu huduma za watumishi mbalimbali wa kiroho, moja wapo ni hili la kuanzishwa kanisa la wala nyasi nchini. Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa kanisa hilo lipo maeneo ya Upanga jijini Dar na huduma yao inafanywa kwa kutumia jina la Rabboni Centre Ministries yenye makao yake makuu jijini Pretoria, Afrika Kusini. Gazeti hili lilifika Upanga, kwenye nyumba...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtrhdThIZw3PbCXAI*AMfJTsmuNAaUD9GpX1xKt6HGyQNK8M-YUWNCFnUi0nwZ1M1GAzwBzotSt7bo5ksLiA-NZJ/walanyasi.jpg?width=650)
KANISA LA WALA NYASI, WENGI WATAKA KUJIUNGA
10 years ago
Bongo524 Aug
New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s72-c/1.jpg)
KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sZD_07Sg5v0/VTTiuCUA03I/AAAAAAAC3UI/t4dJUbMvvnw/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GyxUwmKhA-Y/VTTi6vqqaXI/AAAAAAAC3U0/Q99oBdlO65s/s1600/9.jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu mbalimbali katika Kanisa lao
Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa ajili ya watu mbalimbali kuangalia shughuli zinazofanywa na kanisa hilo.
Mwakilishi wa Darasa la Mkono msaidizi wa akina mama Happy Ayubu akitoa maelezo kwa watu waliotembelea kanisa hilo.
Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.
Baadhi ya watu waliotembelea...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA
10 years ago
Mtanzania08 Apr
Kundi hatari laibuka
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Kundi hatari la vijana limeibuka wilayani mwanga mkoani Kilimanjaro na kuzua hofu. Kundi hilo la vijana wapatao 40, wanadaiwa kupewa mafunzo ya kijeshi na watu wasiofamika wilayani humo.
Vijana hao kwa muda wa miezi kadhaa inadaiwa wamekuwa wakipewa mafunzo ya kijeshi katika vijiji vya Lang’ata na Kirya kwa lengo la kuandaliwa kufanya matukio ya kihalifu nchini.
Habari za uhakika kutoka wilayani Mwanga zinasema hali hiyo imezua wasiwasi mkubwa kwa wananchi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCBk1USLqPKmJK-IT6yo8CwTSKuOkOAUZ0FWyNobu9sQoIqAkvfjw23VyDVvSBdcc-Y8Gs7PiJ4Er*NioGUKW1C6/mbu.png?width=650)
GONJWA JINGINE LAIBUKA BONGO
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Timbwili laibuka mkutano Simba
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MKUTANO mkuu wa dharura wa klabu ya Simba ulifanyika jana kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam, huku ukiibua timbwili baada ya baadhi ya wanachama kutoleana lugha chafu.
Mkutano huo ulihudhuriwa na wanachama 514, lakini sehemu kubwa ya viti ilionekana kuwa tupu tofauti na ilivyotarajiwa, huku ukihusisha ajenda tatu, ya kwanza ambayo ni kubwa ilihusu kujadili mwenendo wa mbaya wa Simba kwenye Ligi Kuu ya Vodacom.
Ajenda ya pili...