KANISA LA WALA NYASI, WENGI WATAKA KUJIUNGA
![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtrhdThIZw3PbCXAI*AMfJTsmuNAaUD9GpX1xKt6HGyQNK8M-YUWNCFnUi0nwZ1M1GAzwBzotSt7bo5ksLiA-NZJ/walanyasi.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu WENGI WATAKA KUJIUNGA BAADHI ya wananchi jijini Dar wamejitokeza na kuomba kujiunga na kanisa ambalo waumini wake wanakula nyasi. Waumini wakila nyasi. Kanisa hilo ambalo makao yake makuu ni Afrika Kusini linaloitwa Rabboni Centre Ministries gazeti hili liliandika katika toleo lake lililopita kuwa limeingia nchini na lipo maeneo ya Upanga jijini Dar. Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili mara baada...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO4QU5UAfbiL0iUjnAiHOKAI*MQqfF8*BKtFLqcTRb4ZDNC9JF2nZtSp1k9D70AaMAf5qVSQ8K2BJWUZwOcbMPag/nyasi.jpg?width=650)
KANISA LA WALA NYASI LAIBUKA!
10 years ago
Habarileo16 Oct
Sumaye- Wala rushwa wengi matajiri
WAZIRI Mkuu wa zamani Frederick Sumaye, ameendelea kuelezea jinsi anavyoumizwa na suala la rushwa katika jamii, huku akisema wenye uwezo mkubwa kifedha ndio tatizo, hivyo wasifumbiwe macho.
11 years ago
GPLWENGI WAVUTIWA NA HUDUMA ZITOLEWAZO NA MFUKO WA GEPF NA KUJIUNGA KATIKA MPANGO WA HIARI WA KUJIWEKEA AKIBA
10 years ago
Bongo524 Aug
New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HuMMOERHkUs/VdggBAYS7vI/AAAAAAAHzDk/FDKhIEakwMg/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s72-c/1.jpg)
KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sZD_07Sg5v0/VTTiuCUA03I/AAAAAAAC3UI/t4dJUbMvvnw/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GyxUwmKhA-Y/VTTi6vqqaXI/AAAAAAAC3U0/Q99oBdlO65s/s1600/9.jpg)
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu mbalimbali katika Kanisa lao
Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa ajili ya watu mbalimbali kuangalia shughuli zinazofanywa na kanisa hilo.
Mwakilishi wa Darasa la Mkono msaidizi wa akina mama Happy Ayubu akitoa maelezo kwa watu waliotembelea kanisa hilo.
Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.
Baadhi ya watu waliotembelea...