Ukawa wamjibu Slaa, wasema tuhuma alizotoa zinalipasua taifa
Siku moja baada ya Dk Willibrod Slaa kuibuka na kuelezea kilichotokea wakati wa kumkaribisha Edward Lwoassa Ukawa na hatimaye kutangaza kuachana na siasa, Mwenyekiti mwenza wa Ukawa, James Mbatia amejibu tuhuma zilizotolewa na Dk Slaa huku akitahadharisha kuwa zinalenga kulipasua taifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Oct
UVCCM wamjibu Kingunge, wasema kakosa uungwana
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
UKAWA wamjibu Kikwete
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) warudi bungeni akidai hawana sababu ya kwenda kushitaki kwa wananchi kwa sababu watawacheka na...
10 years ago
Vijimambo
Karatu wamzungumzia Dk Slaa, wasema ni shujaa, msaliti
Wakazi wa wilaya ya Karatu Mkoani Arusha wametoa maoni yao kuhusu kuacha siasa kwa aliyekuwa mbunge wao Dk Wilbroad Slaa, wengine wakisema kitendo alichofanya ni cha kishujaa wengine wakisema ni usaliti
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Mwelekeo mpya; Ukawa wasema serikali ya mseto inanukia 2015
11 years ago
Mtanzania15 Aug
Mchange akana tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa

Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange
GRACE SHITUNDU NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO)
ALIYEKUWA kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange, ameibuka na kuponda hoja za kumuhusisha kupanga njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.
Alisema tuhuma hizo ni upuuzi na ni dalili ya kifo kwa chama hicho.
Hatua hiyo ya Mchange imekuja siku chache baada ya madiwani wawili wa Chadema Mkoa wa Shinyanga waliokuwa...
10 years ago
Vijimambo
UKAWA WACHARUKA, WASEMA HATUA ZA JK DHIDI YA WATUHUMIWA SAKATA LA ESCROW HAZITOSHI

10 years ago
Mtanzania02 May
Polisi ‘wameza jiwe’ tuhuma za kumuua Dk. Slaa
NA MWANDISHI WETU
MWENENDO wa uchunguzi dhidi ya madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutaka kuuawa na mlinzi wake binafsi, Khalid Kangezi, umezua shaka.
Hii inatokana na ukimya wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ambapo kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa limeshindwa kuwahoji watuhumiwa waliotajwa na Dk. Slaa.
Gazeti hili limebaini kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman...
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Polisi wavuta pumzi tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa
Jonas Mushi na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa tuhuma za mauaji dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema uchunguzi wa tuhuma hizo unaendelea na utakapokamilika taarifa kamili itatolewa kwa umma.
Kova ametoa kauli hiyo huku Watanzania wakiwa bado na shauku ya kujua...
10 years ago
MichuziPOLISI WAMUHOJI DK. SLAA KWA SAA SITA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUWEKEWA SUMU NA MLINZI WAKE