Mchange akana tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange
GRACE SHITUNDU NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO)
ALIYEKUWA kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange, ameibuka na kuponda hoja za kumuhusisha kupanga njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.
Alisema tuhuma hizo ni upuuzi na ni dalili ya kifo kwa chama hicho.
Hatua hiyo ya Mchange imekuja siku chache baada ya madiwani wawili wa Chadema Mkoa wa Shinyanga waliokuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Polisi wavuta pumzi tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa
Jonas Mushi na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa tuhuma za mauaji dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema uchunguzi wa tuhuma hizo unaendelea na utakapokamilika taarifa kamili itatolewa kwa umma.
Kova ametoa kauli hiyo huku Watanzania wakiwa bado na shauku ya kujua...
10 years ago
Mtanzania18 Aug
Mnyika, Mchange wavutana sakata la mauaji
![John Mnyika](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/John-Mnyika.jpg)
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TUHUMA za mauaji ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa, zimeendelea baada ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Chadema, John Mnyika na kada wa chama hicho, Habib Mchange kuvutana hadharani.
Hiyo ni siku chache baada ya Mchange kutoa tuhuma dhidi ya viongozi wa juu wa Chadema wakiwamo Dk. Willibrod Slaa, Freeman Mbowe (mwenyekiti wa chama), Tundu Lissu (mwanasheria) na Mnyika...
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Salazar akana tuhuma dhidi yake
11 years ago
BBCSwahili13 Aug
Mubarak akana kuamrisha mauaji Misri.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-i6vlbzZ0RXA/UujL05tX7UI/AAAAAAAAAr4/TEjK1oUHM-U/s72-c/jonas+1.jpg)
MTOTO WA NAIBU WAZIRI WA ZAMANI WA AFYA JONAS NKYA AKANA TUHUMA ZA KURUSHIANA RISASI NA MAMA YAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-i6vlbzZ0RXA/UujL05tX7UI/AAAAAAAAAr4/TEjK1oUHM-U/s640/jonas+1.jpg)
Jonas Nkya mtoto wa Naibu Waziri wa zamani wa Afya na Mbunge wa Morogoro kusini masgariki Lucy Nkya amewaambia waandishi wa habari kwamba habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijami kwamba amerushiana risasi za moto na mama yake mzazi ofisini kwao leo mkoani Morogoro.
Jonas Nkya amesema kilichotokea alipokwenda ofisini hapo kuchukua gari alielekee shamba bastola ilidondoka chini na ikajifyatua risasi moja na kuzua taharuki kwa watu. Kwanza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-I-WjVGGEhr0/Xs-mmORmzMI/AAAAAAALr1o/BJwLH-e1T5ghuP9xhe988krrdhqjKU1MQCLcBGAsYHQ/s72-c/00220197_f1ba5b470768356c9679b1155a8d2716_arc614x376_w614_us1.jpg)
BAADA YA KUJIFICHA KWA MIAKA 26 NA KUKAMATWA KABUGA AKANA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KIMBARI
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MAUAJI ya Kimbari ya mwaka 1994 ambayo yanaelezwa kuwa ni mpango uliotekelezwa na baadhi ya watu na kuuwa maelfu ya watu wa kabila la Watutsi nchini Rwanda, mmoja ya watekelezaji wa tukio hilo Felician Kabuga aliyekamatwa baada ya miaka 26 tangu kutokea kwa tukio hilo ameieleza mahakama inayomshikilia nchini Ufaransa kuwa wampe dhamana wakati akisubiri ni wapi kesi yake itasikilizwa aidha Ufaransa alipokamatwa au nyumbani anakodaiwa kutekeleza mauaji...
10 years ago
Mtanzania02 May
Polisi ‘wameza jiwe’ tuhuma za kumuua Dk. Slaa
NA MWANDISHI WETU
MWENENDO wa uchunguzi dhidi ya madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutaka kuuawa na mlinzi wake binafsi, Khalid Kangezi, umezua shaka.
Hii inatokana na ukimya wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ambapo kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa limeshindwa kuwahoji watuhumiwa waliotajwa na Dk. Slaa.
Gazeti hili limebaini kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman...
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Tuhuma za mauaji ya wafungwa Syria
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za mauaji na uhalifu mwingine uliofanyika Oktoba mwaka huu, mkoani humo kwa nyakati tofauti. Kamanda wa Polisi mkoani hapa,...