Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Salazar akana tuhuma dhidi yake

Kocha wa Mwanariadha Mo Farah amekana tuhuma za kukiuka sheria ya kupinga matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA NAIBU WAZIRI WA ZAMANI WA AFYA JONAS NKYA AKANA TUHUMA ZA KURUSHIANA RISASI NA MAMA YAKE

Mtoto wa Naibu Waziri wa Afya wa zamani Jonas Nkya
Jonas Nkya mtoto wa Naibu Waziri wa zamani wa Afya na Mbunge wa Morogoro kusini masgariki Lucy Nkya amewaambia waandishi wa habari kwamba habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijami kwamba amerushiana risasi za moto na mama yake mzazi ofisini kwao leo mkoani Morogoro.

Jonas Nkya amesema kilichotokea alipokwenda ofisini hapo kuchukua gari alielekee shamba bastola ilidondoka chini na ikajifyatua risasi moja na kuzua taharuki kwa watu. Kwanza...

 

5 years ago

CCM Blog

KABUGA, MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA AKANUSHA TUHUMA DHIDI YAKE

Kabuga, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akanusha tuhuma dhidi yakeFelicien Kabuga, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alikuwa mafichoni kwa muda wa miaka 26 kabla ya kukamatwa siku chache zilizopita nchini Ufransa amekanusha mashitaka ya kuhusika na mauaji hayo.Kabuga mwenye umri wa miaka 84 jana Jumatano kupitia mkalimani aliimbia Mahakama ya Ufaransa kuwa, "yote haya ni urongo, sijaua Watutsi wowote, nilikuwa nafanya kazi nao."Mshukiwa huyo anaandamwa na makosa saba yakiwemo ya uchochezi wa mauaji ya kimbari, jinai dhidi ya binadamu na...

 

10 years ago

Mtanzania

Mchange akana tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa

Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange

Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange

GRACE SHITUNDU NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO)

ALIYEKUWA kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange, ameibuka na kuponda hoja za kumuhusisha kupanga njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.

Alisema tuhuma hizo ni upuuzi na ni dalili ya kifo kwa chama hicho.

Hatua hiyo ya Mchange imekuja siku chache baada ya madiwani wawili wa Chadema Mkoa wa Shinyanga waliokuwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

‘Tuhuma dhidi ya Nyalandu ni uzushi’


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imesema tuhuma zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, hazina ukweli na zimelenga kumchafua binafsi pamoja na wizara.
Pia imetoa ufananuzi wa tuhuma hizo zilizokuwa zikielekezwa kwa Nyalandu na kuonya kuwa, kuanzia sasa itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya wanaomchafua na kupaka matope utendaji kazi wake.
Hivi karibuni Nyalandu amekuwa akiandamwa na baadhi ya watu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE: TUHUMA DHIDI YANGU ZICHUNGUZWE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe.   Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja…

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe

Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe

Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja alisema kuwa ni kawaida wabunge kupewa misaada na wafanyabiashara na taasisi za umma. Katika Maelezo yake alirudia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu zilizokwisha tolewa huko nyuma kwamba
1) nilipewa fedha na kampuni ya PAP na
2) nilipewa fedha na shirika la NSSF.

Nashambuliwa, tunashambuliwa!...

 

10 years ago

GPL

TUHUMA DHIDI YA LOWASSA KUMSAFISHIA NJIA KUELEKEA IKULU

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. MOJA kati ya mambo wananchi wanatarajia kusikia katika vyombo vya habari ni kuhusu wagombea urais, hasa wale ambao tayari wameshatangaza nia ya kuwania kiti hicho, ni taarifa mpya kuhusu wao. Kwa lugha nyepesi ya msimu tunaweza kusema “habari ya mjini kwa sasa.” Hiyo inatokana na ukweli kwamba baada ya baadhi ya wagombea kufungiwa kujihusisha na ushawishi wa kisiasa kwa kipindi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani