Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA NAIBU WAZIRI WA ZAMANI WA AFYA JONAS NKYA AKANA TUHUMA ZA KURUSHIANA RISASI NA MAMA YAKE

Mtoto wa Naibu Waziri wa Afya wa zamani Jonas Nkya
Jonas Nkya mtoto wa Naibu Waziri wa zamani wa Afya na Mbunge wa Morogoro kusini masgariki Lucy Nkya amewaambia waandishi wa habari kwamba habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijami kwamba amerushiana risasi za moto na mama yake mzazi ofisini kwao leo mkoani Morogoro.

Jonas Nkya amesema kilichotokea alipokwenda ofisini hapo kuchukua gari alielekee shamba bastola ilidondoka chini na ikajifyatua risasi moja na kuzua taharuki kwa watu. Kwanza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA TUKIO LA NAIBU WAZIRI WA AFYA WA ZAMANI NA MWANAE

Gari la Polisi likiwa eneo la tukio katika ofisi za Faraja Trust Fund zinazomilikiwa na Mbunge wa Morogoro Kusini, Mh Lucy Nkya, ambapo imetokea tukio la kurushiana risasi baina ya mbunge na mtoto wake, jana asubuhi Jumamosi Oct 25, 2014Mtoto wa kwanza wa mbunge, Jonas akihojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na tukio hilo.Mhe Dr Lucy Nkya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki.Mhe Dr Lucy Nkya akizungumza na Waandishi wa habari muda mfupi uliopita ofisini kwake Faraja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Salazar akana tuhuma dhidi yake

Kocha wa Mwanariadha Mo Farah amekana tuhuma za kukiuka sheria ya kupinga matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT NDUGULILE ATOA UFAFANUZI KUHUSU BARAKOA NA MATUMIZI YAKE

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile


NA DK FAUSTINE NDUGULILE

Kuna clip inazunguka mitandaoni nikiongelea kuhusu barakoa za kitambaa. Napenda kutoa ufafanuzi ufuatavyo:

1. Barakoa za N95 zinapaswa kutumika na watoa huduma wa afya wanaohudumia wagonjwa wa Covid-19. Barakoa hizi hazipaswi kuvaliwa mitaani, majumbani wala maofisini.

2. Barakoa za upasuaji (surgical masks) hizi zinapaswa kuvaliwa na watumishi wa afya ambao hawana direct contact na...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Afya aipongeza Benki ya CRDB uwezeshaji Sekta ya Afya

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) pamoja na Wakurugenzi wengine wa Benki hiyo, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati wa Kongamano la Uwezeshaji Sekta ya Afya "Afya Forum" lililoandaliwa na Benki ya CRDB. Kongamano hilo lilifanyika kwa njia ya mtandao ambapo zaidi ya watoa huduma za afya 500 walihudhuria.
======    ======     ======


• Mikopo zaidi kutolewa kwa watoa huduma sekta za afyakusaidia ununuzi wa vifaa tiba, dawa...

 

11 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI ARUSHIANA RISASI NA MWANAE

Naibu Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Lucy Nkya. Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki , Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda huu. (HABARI: DUSTAN SHEKIDELE,…

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA WA MARADHI YA KIPIDUPINDU KATIKA KITUO CHA AFYA KARAKANA



 Baadhi ya Wagonja walifikishwa Hospitali hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu  baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu). Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukua maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo. Naibu Waziri wa Afya  Mahmoudu Thabiti Kombo akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo.Naibu Waziri wa  Afya  Mahmoudu Thabiti  Kombo akipata maelezo kwa Dkt. Dhamana  Fadhili Ramadhan...

 

11 years ago

Mwananchi

Risasi zarindima ofisini kwa mbunge Nkya, Morogoro

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya amesema kuwa milio ya risasi iliyosikika ofisini kwake, ilitokana na mtoto wake Jonas Nkya, kuangusha bastola kwa bahati mbaya.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WANNE WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA KATIKA MAPAMBANO YA KURUSHIANA RISASI NA POLISI

Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wauawa katika mapambano ya kurushiana risasi na polisi wilaya ya Momba. 
Katika tukio hilo watu wanne wanaume wasiofahamika wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliuawa katika majibizano ya kurushiana risasi na Askari Polisi.

Tukio hilo limetokea Agusti 3, 2015 majira ya saa 09.00hrs eneo la Sogea, Kata na Tarafa ya Tunduma Wilaya ya Momba. 
Awali watu hao walivamia dukani kwa Thadeo Sanga (50), mfanyabiashara na wakala wa kuuza/kusambaza bia za TBL ,...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA WITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ''A'' UNGUJA

Mkuu wa kituo cha Afya cha Mkokotoni Mcha Haji Makame akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (alievaa miwani) alipofanya ziara ya kutembelea vituo vya afya vya Wilaya Kaskazini A. Wa kwanza (kushoto) mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Andymicheel Ghirmany akifuatiwa na mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Bibi Fransisca.Mkuu wa kituo cha Afya Mkokotoni akiwaonyesha wawakilishi wa UNICEF Bibi Fransisca na mwenzake wa WHO Ghirmany jiko la kuchoma takataka za Hospitali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani