Risasi zarindima ofisini kwa mbunge Nkya, Morogoro
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya amesema kuwa milio ya risasi iliyosikika ofisini kwake, ilitokana na mtoto wake Jonas Nkya, kuangusha bastola kwa bahati mbaya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Oct
Risasi zarindima
Tuna taarifa kuwa magogoni mawakala 20 wamepigwa risasi na kinuni,taarifa zinasema kuwa wabunge na wakilishi wa ccm walio shindwa wamegoma ku sign. Kwa mtipura pia police amepigwa mawe vibaya, na chanzo wananchi walivamiwa na watu wanao […]
The post Risasi zarindima appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
Risasi zarindima Dar
Polisi, genge la mihadarati wapimana ubavu ‘Wazungu wa unga’ watano watiwa mbaroni
NA MWANDISHI WETU
MILIO ya risasi ilirindima kwa dakika kadhaa wakati Polisi wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, walipokuwa wakiwakamata watu wanaotuhumiwa kuwa vigogo wa dawa za kulevya.
Kundi kubwa la wananchi lililokuwa likishughudia tukio hilo, lililazimika kutawanyika baada ya polisi kufyatua risasi hewani huku watuhumiwa nao wakijibu kwa kufyatua risasi pia.
Habari za kuaminika zinasema polisi hao...
11 years ago
CloudsFM03 Jul
Balozi wa Libya ajiua kwa risasi ofisini Dar
Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat, amejiua kwa risasi jana ofisini kwake, katika tukio la kwanza la aina yake nchini kwa kigogo wa ubalozi kuondoa uhai wake.
Hadi sasa haijafahamika sababu za kujiua kwa balozi huyo ambaye alikuwa akipingana waziwazi na sera za utawala ulioondolewa madarakani wa Kanali Muhamar Gaddafi, aliyeuawa wakati wa mapinduzi Oktoba 2011.
Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa zilisema kuwa...
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Risasi zarindima jijini Mwanza
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-1TcY2dFSBcQ/VMJ0OWT5rcI/AAAAAAAAPUA/WzkcEI8r9b4/s72-c/IMG-20150123-WA0066.jpg)
RISASI ZARINDIMA DARAJANI ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-1TcY2dFSBcQ/VMJ0OWT5rcI/AAAAAAAAPUA/WzkcEI8r9b4/s640/IMG-20150123-WA0066.jpg)
10 years ago
Mwananchi24 Apr
Risasi zarindima misafara ya Chenge, Chadema
10 years ago
Habarileo22 Jun
Risasi zarindima vituo vya BVR
MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika kata ya Sokoni One jijini hapa, baada ya kuibuka kwa vurugu zilizohusisha vijana wa Chadema na wenzao wa CCM, chanzo kikitajwa madai ya kuwepo kwa watu ambao sio wakazi wa eneo hilo kutaka kujiandikisha.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Risasi zarindima BVR, mkutano ZEC wavunjika
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaIucsLOY5fBHr*5P34u5Gu95DSP6xeETaOf7FlPkoOHyT0cYpXUv4Ckerko-5M3UR8xs7wvEy*96Yf0l6oFhx41/lema.jpg?width=650)
RISASI ZARINDIMA VITUO VYA BVR, ARUSHA