Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RISASI ZARINDIMA VITUO VYA BVR, ARUSHA

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema akiongea na wananchi wa Arusha ( Picha na Maktaba). MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika kata ya Sokoni One jijini hapa, baada ya kuibuka kwa vurugu zilizohusisha vijana wa Chadema na wenzao wa CCM, chanzo kikitajwa madai ya kuwepo kwa watu ambao sio wakazi wa eneo hilo kutaka kujiandikisha. Vurugu hizo zilisababisha takribani watu 15 kukamatwa akiwemo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Risasi zarindima vituo vya BVR

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema.MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika kata ya Sokoni One jijini hapa, baada ya kuibuka kwa vurugu zilizohusisha vijana wa Chadema na wenzao wa CCM, chanzo kikitajwa madai ya kuwepo kwa watu ambao sio wakazi wa eneo hilo kutaka kujiandikisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Risasi zarindima BVR, mkutano ZEC wavunjika

Wakati watu watano wakijeruhiwa, wawili kwa kupigwa risasi, kwenye uandikishaji wa wapigakura eneo la Makunduchi, mkutano baina ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar na wadau umevunjika kutokana na mzozo wa mgwanyo wa majimbo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Risasi zarindima

Tuna taarifa kuwa magogoni mawakala 20 wamepigwa risasi na kinuni,taarifa zinasema kuwa wabunge na wakilishi wa ccm walio shindwa wamegoma ku sign. Kwa mtipura pia police amepigwa mawe vibaya, na chanzo wananchi walivamiwa na watu wanao […]

The post Risasi zarindima appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Risasi zarindima Dar



 Polisi, genge la mihadarati wapimana ubavu  ‘Wazungu wa unga’ watano watiwa mbaroni 
NA MWANDISHI WETU
MILIO ya risasi ilirindima kwa dakika kadhaa wakati Polisi wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, walipokuwa wakiwakamata watu wanaotuhumiwa kuwa vigogo wa dawa za kulevya.
Kundi kubwa la wananchi lililokuwa likishughudia tukio hilo, lililazimika kutawanyika baada ya polisi kufyatua risasi hewani huku watuhumiwa nao wakijibu kwa kufyatua risasi pia.
Habari za kuaminika zinasema polisi hao...

 

10 years ago

Vijimambo

RISASI ZARINDIMA DARAJANI ZANZIBAR

Polisi wenye silaha, wakiwa tayari kukabiliana na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi mapema leo Ijumaa, Januari 23, 2015, kwenye eneo maarufu la kibiashara, Darajani kisiwani Unguja Zanzibar. Mashuhuda wanasema, watu wanne wenye silaha wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakijaribu kufanya uporaji, kwenye eneo hilo, walikabiliana vilivyo na polisi, ambapo walijibizana risasi na kuzua mtafaruku mkubwa kwenye eneo hilo. Ripoti zisizokuwa rasmi zinasema mtu mmoja alipigwa risasi na anasadikiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Risasi zarindima jijini Mwanza

>Jiji la Mwanza jana ‘lilisimama’ kwa takriban dakika 10 wakati risasi na mabomu viliporindima kutokana na mapambano kati ya wafanyabiashara ndogondogo na polisi katika mitaa ya Lumumba, Rwagasore, Makoroboi na Barabara ya Nyerere.

 

10 years ago

Mwananchi

Risasi zarindima misafara ya Chenge, Chadema

Hali ya taharuki ilizuka juzi jioni na kusababisha watu kukimbia ovyo kutokana na kupigwa hewani risasi tatu baada ya misafara ya Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), John Chenge na Chadema kukutana mjini Bariadi, Simiyu

 

10 years ago

Mwananchi

Risasi zarindima ofisini kwa mbunge Nkya, Morogoro

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya amesema kuwa milio ya risasi iliyosikika ofisini kwake, ilitokana na mtoto wake Jonas Nkya, kuangusha bastola kwa bahati mbaya.

 

10 years ago

Daily News

BVR registration gets more hectic in Arusha


BVR registration gets more hectic in Arusha
Daily News
REGISTRATION through Biometric Voters Registration (BVR) in Arusha is getting more hectic with the police being placed on alert, after reports emerged that hundreds of people were being mobilised to stage protests in the city. The first attempt was thwarted ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani