Balozi wa Libya ajiua kwa risasi ofisini Dar
Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat, amejiua kwa risasi jana ofisini kwake, katika tukio la kwanza la aina yake nchini kwa kigogo wa ubalozi kuondoa uhai wake.
Hadi sasa haijafahamika sababu za kujiua kwa balozi huyo ambaye alikuwa akipingana waziwazi na sera za utawala ulioondolewa madarakani wa Kanali Muhamar Gaddafi, aliyeuawa wakati wa mapinduzi Oktoba 2011.
Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa zilisema kuwa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Jul
Balozi Libya ajiua ofisini kwake Dar
ALIYEKUWA Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amekufa, baada ya kujipiga risasi.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Balozi wa Libya ajiua kwa risasi
KAIMU Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amejiua kwa kujipiga risasi kifuani akiwa ofisini kwake. Balozi huyo, amejiua juzi saa 7 mchana katika jengo la Ubalozi huo jijini Dar es...
11 years ago
Michuzi02 Jul
NEWS ALERT: Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania ajiua kwa risasi
Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje,imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0kKlVdnL8WFbEUYQaHaWMdtTm*SeHEPhYN6KRUZyZ8NSlbNpgn9ijKNZvZyBHmJzgOpn8kF97t1BFCvkiNwKEF5/BILIONEA.jpg?width=650)
BILIONEA DAR AJIUA KWA RISASI
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Balozi wa Libya Tanzania ajiua
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.
11 years ago
Habarileo23 May
Waziri wa Malawi ajiua kwa risasi
NAIBU Waziri anayemaliza muda wake wa Serikali za Mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua kwa kujipiga risasi, baada ya matokeo ya awali ya kura za ubunge, kuonesha ameshindwa kukomboa jimbo alilokuwa akishikilia la Lilongwe, Msozi Kaskazini.
10 years ago
Habarileo03 Feb
Dereva wa OCD ajiua kwa risasi
ASKARI aliyekuwa dereva wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) Manyoni mkoani hapa, Aloyce Alibinus amejiua kwa kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.
10 years ago
Habarileo27 Oct
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo eneo la Shams, jijini hapa.