Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi wa Libya Tanzania ajiua

Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat, amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania ajiua kwa risasi

 Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania,Ndg. Ismail Nwairat amefikwa na mauti baada ya kujifungia ofisini kwake na kujifyatulia risasi kifuani.tukio hilo lilitokea jana jioni na chanzo chake bado hakijafahamika mpaka sasa.
Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje,imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi wa Libya ajiua kwa risasi

KAIMU Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amejiua kwa kujipiga risasi kifuani akiwa ofisini kwake. Balozi huyo, amejiua juzi saa 7 mchana katika jengo la Ubalozi huo jijini Dar es...

 

11 years ago

Habarileo

Balozi Libya ajiua ofisini kwake Dar

ALIYEKUWA Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amekufa, baada ya kujipiga risasi.

 

11 years ago

CloudsFM

Balozi wa Libya ajiua kwa risasi ofisini Dar

Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat, amejiua kwa risasi jana ofisini kwake, katika tukio la kwanza la aina yake nchini kwa kigogo wa ubalozi kuondoa uhai wake.

Hadi sasa haijafahamika sababu za kujiua kwa balozi huyo ambaye alikuwa akipingana waziwazi na sera za utawala ulioondolewa madarakani wa Kanali Muhamar Gaddafi, aliyeuawa wakati wa mapinduzi Oktoba 2011.

Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa zilisema kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN

Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...

 

11 years ago

Habarileo

Uchunguzi kujiua Balozi wa Libya

JESHI la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, limeanza uchunguzi wa kifo cha Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat (39) kilichotokea Jumanne wiki hii baada ya kuruhusiwa kuingia katika eneo la tukio. Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa maafisa kutoka Tanzania wamtembelea Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi

Ujumbe wa maafisa wanane kutoka Tanzania ulioko nchini Malawi kwa ziara ya kimafunzo umemtembelea Mhe. Victoria R. Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi, ofisini kwake mjini Lilongwe. Ujumbe huo wenye maafisa kutoka taasisi mbalimbali za Serikali ikiwemo Ofisi ya Rais –Utumishi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Wizara ya Fedha, Clinton Health Access Initiative (CHAI), na Mpango wa Taifa wa Kuthibiti UKIMWI (National Aids...

 

11 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Jordan atekwa nyara Libya

Balozi wa Jordan nchini Libya ametekwa nyara mjini Tripoli, katika shambulizi ambalo limemwacha dereva wake na majeraha mabaya.

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KUHUSU KAIMU BALOZI WA LIBYA KUJIUA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa leo imepokea taarifa kutoka Ubalozi wa Libya hapa nchini kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Bwana Ismail Nwairat, amefariki dunia jana kwa kujipiga risasi. Taarifa hiyo ya ubalozi imeeleza kuwa kifo hicho kimetokea majira ya saa Saba mchana ofisini kwa Kaimu Balozi huyo katika jengo la Ubalozi wa Lbya. Inataarifiwa kuwa Bwana Nwairat alijifungia ofisini na kujifyatulia risasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani