NEWS ALERT: Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania ajiua kwa risasi
Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania,Ndg. Ismail Nwairat amefikwa na mauti baada ya kujifungia ofisini kwake na kujifyatulia risasi kifuani.tukio hilo lilitokea jana jioni na chanzo chake bado hakijafahamika mpaka sasa.
Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje,imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Balozi wa Libya ajiua kwa risasi
KAIMU Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amejiua kwa kujipiga risasi kifuani akiwa ofisini kwake. Balozi huyo, amejiua juzi saa 7 mchana katika jengo la Ubalozi huo jijini Dar es...
11 years ago
CloudsFM03 Jul
Balozi wa Libya ajiua kwa risasi ofisini Dar
Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat, amejiua kwa risasi jana ofisini kwake, katika tukio la kwanza la aina yake nchini kwa kigogo wa ubalozi kuondoa uhai wake.
Hadi sasa haijafahamika sababu za kujiua kwa balozi huyo ambaye alikuwa akipingana waziwazi na sera za utawala ulioondolewa madarakani wa Kanali Muhamar Gaddafi, aliyeuawa wakati wa mapinduzi Oktoba 2011.
Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa zilisema kuwa...
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Balozi wa Libya Tanzania ajiua
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dfHMtOkC0gU/XsxSV-Iz6ZI/AAAAAAALrhA/E7j_8sQmFDsbXyNf_0Nd-3UrtWxtziNswCLcBGAsYHQ/s72-c/25.jpg)
NEWS ALERT: BALOZI MILANZI ASIMAMIA USAFIRISHWAJI WA WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI KWA LOCKDOWN, WAREJEA NCHINI PAMOJA NA RAIA WA NCHI HIO WANAOFANYA KAZI TANZANIA
Taarifa kutoka ubalozi wa Tanzania nchini humo zinasema kwamba Balozi Milanzi aliratibu na kusimamia zoezi hilo ambapo Watanzania hao walikwama...
11 years ago
Habarileo03 Jul
Balozi Libya ajiua ofisini kwake Dar
ALIYEKUWA Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amekufa, baada ya kujipiga risasi.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eKRBB_JURwM/Uxgm6N6zOkI/AAAAAAAFRXI/Z8eJmEOXit8/s72-c/unnamed+(61).jpg)
balozi mdogo wa ethiopia amtembelea balozi mdogo wa tanzania dubai
![](http://4.bp.blogspot.com/-eKRBB_JURwM/Uxgm6N6zOkI/AAAAAAAFRXI/Z8eJmEOXit8/s1600/unnamed+(61).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-U3ffWYZrxRE/Uxgm6NZWpTI/AAAAAAAFRXE/nQ4AIi6TjkI/s1600/unnamed+(62).jpg)
Katika mazungumzo yao wanadiplomasia hao walipata fursa ya kuzungumzia njia muafaka na mbali mbali za kufanya kazi kwa karibu ili kuhakikisha wanavutia utalii na uwekezaji katika nchi zao hasa kwa kuwavutia...
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.
10 years ago
Mwananchi06 Apr
Polisi ajiua kwa risasi kituoni
11 years ago
Habarileo23 May
Waziri wa Malawi ajiua kwa risasi
NAIBU Waziri anayemaliza muda wake wa Serikali za Mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua kwa kujipiga risasi, baada ya matokeo ya awali ya kura za ubunge, kuonesha ameshindwa kukomboa jimbo alilokuwa akishikilia la Lilongwe, Msozi Kaskazini.