Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KUHUSU KAIMU BALOZI WA LIBYA KUJIUA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa leo imepokea taarifa kutoka Ubalozi wa Libya hapa nchini kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Bwana Ismail Nwairat, amefariki dunia jana kwa kujipiga risasi. Taarifa hiyo ya ubalozi imeeleza kuwa kifo hicho kimetokea majira ya saa Saba mchana ofisini kwa Kaimu Balozi huyo katika jengo la Ubalozi wa Lbya. Inataarifiwa kuwa Bwana Nwairat alijifungia ofisini na kujifyatulia risasi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Uchunguzi kujiua Balozi wa Libya

JESHI la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, limeanza uchunguzi wa kifo cha Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat (39) kilichotokea Jumanne wiki hii baada ya kuruhusiwa kuingia katika eneo la tukio. Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA PAKISTAN


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akisalimiana na Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad Saleem alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara jijini Dodoma. Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ya kudumisha na kukuza uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizi mbili.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge na Kaimu Balozi wa Pakistan nchi Bw. Mohammad...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UHAMISHO WA BALOZI KALAGHE


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Coat of ArmsSimu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600               
               20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

KAIMU BALOZI WA JAMHURI YA SUDAN ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.


 Kaimu Balozi wa Jamhuri ya Sudan  Maowia O. Khalid akiweka sahihi katika kitabu maalum cha wageni kwenye Ubalozi wa Tanzania.

 Kaimu Balozi wa Sudan akipokewa kwa furaha kubwa na mwenyeji wake Balozi Liberata Mulamula Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kaimu Balozi wa Sudan akikaribishwa na mwenyeji wake Balozi Liberata Mulamula Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

  Kaimu Balozi wa Sudan akibadilishana mawazo na mwenyeji wake...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania yafanya mazungumzo na Kaimu balozi wa Marekani

Wizara ya Mambo ya Nje nchini Tanzania hii leo imefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani kuhusu masuala ya ugonjwa wa corona.

 

9 years ago

Vijimambo

Kaimu Katibu Mkuu azungumza na waandishi wa Habari kuhusu Wiki ya Umoja wa Mataifa

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Simba Yahaya (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Pamoja kwenye picha ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (wa kwanza kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA MAMBO YA NJE YAMUITA KAIMU BALOZI WA MAREKANI HAPA NCHINI KUTOA UFAFANUZI WA MASUALA MBALIMBALI

 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Dk. Imni Patterson, Kaimu Balozi wa  Ubalozi wa Marekani hapa nchini kwa lengo la kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.
Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA SANAA TANZANIA AZINDUA CD YA WASANII KUHUSU KATIBA MPYA

 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wasanii Februari 28,2014 katika ukumbi vijana kinondoni jijini Dar es Salaam, kuhusu viongozi mbalimbali wa Sanaa hapa nchini kwenda mkoani Dodoma Bungeni kupeleka ujumbe wa matakwa ya wasanii kuingizwa katiba Katiba mpya. Kutoka kulia ni Rais wa Shirikisho la Muziki wa Injili, Addo November, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani