Uchunguzi kujiua Balozi wa Libya
JESHI la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, limeanza uchunguzi wa kifo cha Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat (39) kilichotokea Jumanne wiki hii baada ya kuruhusiwa kuingia katika eneo la tukio. Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTAARIFA KUHUSU KAIMU BALOZI WA LIBYA KUJIUA
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Balozi wa Libya Tanzania ajiua
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Balozi wa Jordan atekwa nyara Libya
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Balozi wa Libya ajiua kwa risasi
KAIMU Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amejiua kwa kujipiga risasi kifuani akiwa ofisini kwake. Balozi huyo, amejiua juzi saa 7 mchana katika jengo la Ubalozi huo jijini Dar es...
11 years ago
Habarileo03 Jul
Balozi Libya ajiua ofisini kwake Dar
ALIYEKUWA Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amekufa, baada ya kujipiga risasi.
11 years ago
CloudsFM03 Jul
Balozi wa Libya ajiua kwa risasi ofisini Dar
Balozi wa Libya nchini Tanzania, Ismail Nwairat, amejiua kwa risasi jana ofisini kwake, katika tukio la kwanza la aina yake nchini kwa kigogo wa ubalozi kuondoa uhai wake.
Hadi sasa haijafahamika sababu za kujiua kwa balozi huyo ambaye alikuwa akipingana waziwazi na sera za utawala ulioondolewa madarakani wa Kanali Muhamar Gaddafi, aliyeuawa wakati wa mapinduzi Oktoba 2011.
Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa zilisema kuwa...
9 years ago
MichuziBALOZI SEIF ALI IDDI AMEMUAGIZA MKURUGENZI WA ‘ZAWA’ KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA NA KUWACHUKULIA HATUA ZA NIDHAMU KWA MUJIBU WA SHERIA WATENDAJI WA MAMLAKA HIYO.
Baadhi ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakitafakari na kufurahia maamuzi yaliyochukuliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...
11 years ago
Michuzi02 Jul
NEWS ALERT: Balozi Mdogo wa Libya nchini Tanzania ajiua kwa risasi
Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje,imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Wizara ya Mambo ya Nje yathibitisha kifo cha balozi wa Libya aliyejipiga risasi usiku wa kuamkia leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Benard Membe.
Na Mwandishi wetu.
Balozi wa Libya nchini Mh. Ismail Nwairat amefariki dunia jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo baada ya kujipiga risasi ya kifuani upande wa kushoto akiwa ofisini kwake.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ilisema kuwa, ilipokea taarifa kutoka kwenye Ubalozi huo kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat amefariki dunia kwa kujipiga risasi.
Hata...