Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tuhuma dhidi ya Nyalandu ni uzushi’


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imesema tuhuma zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, hazina ukweli na zimelenga kumchafua binafsi pamoja na wizara.
Pia imetoa ufananuzi wa tuhuma hizo zilizokuwa zikielekezwa kwa Nyalandu na kuonya kuwa, kuanzia sasa itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya wanaomchafua na kupaka matope utendaji kazi wake.
Hivi karibuni Nyalandu amekuwa akiandamwa na baadhi ya watu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nyalandu: Taarifa za kufukuza Wamasai Loliondo ni uzushi

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduSERIKALI imesema haina mpango, haifikirii na wala haijaidhinisha kuwafukuza Wamasai zaidi ya 40,000 walioko katika eneo la Loliondo mkoani Arusha.

 

10 years ago

GPL

TAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA DHIDI YA UZUSHI KUWA BABU SEYA NA MWANAE WAMEACHIWA HURU

Nguza Viking 'Babu Seya' (kulia) na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'. Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza (Maarufu kwa jina la Papii Kocha) - Katika picha ya maktaba juu. Napenda kuufahamisha Umma...

 

10 years ago

BBCSwahili

Salazar akana tuhuma dhidi yake

Kocha wa Mwanariadha Mo Farah amekana tuhuma za kukiuka sheria ya kupinga matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe

Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe

Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja alisema kuwa ni kawaida wabunge kupewa misaada na wafanyabiashara na taasisi za umma. Katika Maelezo yake alirudia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu zilizokwisha tolewa huko nyuma kwamba
1) nilipewa fedha na kampuni ya PAP na
2) nilipewa fedha na shirika la NSSF.

Nashambuliwa, tunashambuliwa!...

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE: TUHUMA DHIDI YANGU ZICHUNGUZWE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe.   Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja…

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ataka nguvu zaidi dhidi ya majangili

Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amewataka askari wa Wanyamapori nchini na watendaji wa wizara yake kuongeza nguvu zaidi kwenye mapambano dhidi ya ujangili.

 

10 years ago

GPL

TUHUMA DHIDI YA LOWASSA KUMSAFISHIA NJIA KUELEKEA IKULU

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. MOJA kati ya mambo wananchi wanatarajia kusikia katika vyombo vya habari ni kuhusu wagombea urais, hasa wale ambao tayari wameshatangaza nia ya kuwania kiti hicho, ni taarifa mpya kuhusu wao. Kwa lugha nyepesi ya msimu tunaweza kusema “habari ya mjini kwa sasa.” Hiyo inatokana na ukweli kwamba baada ya baadhi ya wagombea kufungiwa kujihusisha na ushawishi wa kisiasa kwa kipindi cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuhuma nzito bungeni,ni za rushwa dhidi ya Waziri Mkuu Pinda

>Hali ya hewa jana ilichafuka kwenye Bunge la Katiba baada ya mjumbe Ezekiel Wenje kuwatuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda na baadhi ya mawaziri kuwa waliwahonga baadhi ya wajumbe wa kundi la 201

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani