Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuhuma za mauaji ya wafungwa Syria

Serikali ya Syria inadaiwa kuwatesa na kuwaua karibu wafungwa 10,000 tangu kuanza harakati za kumpinga Rais Bashar Al-Asaad.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya kikatili yaendelea Syria

Wakati vita vilivyojaa ukatili vikiendelea nchini Syria, katika mji kubwa wa Aleppo, maelfu ya watu imearifiwa wameuawa

 

10 years ago

Tanzania Daima

Washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za mauaji na uhalifu mwingine uliofanyika Oktoba mwaka huu, mkoani humo kwa nyakati tofauti. Kamanda wa Polisi mkoani hapa,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Syria yasema mauaji ya wanajeshi ni uchokozi

Serikali ya Syria imesema shambulio lililotekelezwa mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha vifo vya wanajeshi wake watatu ni uchokozi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya Paris yalipangwa nchini Syria

Waziri mkuu wa Ufaransa ,Manuel Valls, amesema polisi wamegundua kuwa mauaji yaliyotokea mjini Paris Ufaransa siku ya Ijumaa yalipangwa nchini Syria.

 

11 years ago

Habarileo

Mchungaji Anglikana mbaroni tuhuma za mauaji

MCHUNGAJI mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Usharika wa Mfarasi kata ya Madilu wilayani Ludewa, mkoani Njombe, Petro Chambachamba (87) anashikiliwa Polisi akihusishwa kwenye kesi ya mauaji. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani, amesema jana kuwa Chambachamba pamoja na watu wengine wanane, wamekamatwa wakihusishwa na mauaji yaliyotokea Februari 25, mwaka huu saa 8 mchana katika kijiji cha Mfarasi.

 

10 years ago

Habarileo

Watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulPOLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mwanamke ambao wote ni wakazi wa Kijiji cha Mkindo wilayani Mvomero mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Huruma Naloloi (32) mkazi wa Mikocheni, Kata ya Dakawa kwa kutumia bunduki na kumpora pikipiki yake.

 

10 years ago

Mtanzania

Mchange akana tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa

Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange

Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange

GRACE SHITUNDU NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO)

ALIYEKUWA kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange, ameibuka na kuponda hoja za kumuhusisha kupanga njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.

Alisema tuhuma hizo ni upuuzi na ni dalili ya kifo kwa chama hicho.

Hatua hiyo ya Mchange imekuja siku chache baada ya madiwani wawili wa Chadema Mkoa wa Shinyanga waliokuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Wagangambaroni kwa tuhuma za mauaji ya albino

Kadama Malunde, Shinyanga na Renatha Kipaka, Bukoba
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limewatia mbaroni waganga wa tiba asilia 26 katika Wilaya za Kishapu, Shinyanga na Kahama o kupiga ramli za uchonganishi na kusababisha mauaji ya albino.
Akizungumza na wandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema operesheni ya kuwakamata waganga hao ilianza Machi mosi hadi Machi 9 mwaka huu, na baadhi ya waganga hao wamo wanaojihusisha na mauaji ya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mwalimu akong’otwa kwa tuhuma za mauaji


Na Chibura Makorongo, Simiyu
MWALIMU wa Shule ya Msingi Chinamili, iliyoko wilayani Itilima, Simiyu, Festo Twange, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa silaha za jadi na wananchi wenye hasira kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi.
Mwalimu huyo alivamiwa na wananchi waliokuwa na mawe, fimbo, pamoja na mapanga kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha mwanafunzi wa darasa la tatu, Shilinde Ngíholo (12).
Kifo cha Shilinde kinadaiwa kusababishwa na kipigo kutoka kwa mwalimu huyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani