Mwalimu akong’otwa kwa tuhuma za mauaji
Na Chibura Makorongo, Simiyu
MWALIMU wa Shule ya Msingi Chinamili, iliyoko wilayani Itilima, Simiyu, Festo Twange, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa silaha za jadi na wananchi wenye hasira kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi.
Mwalimu huyo alivamiwa na wananchi waliokuwa na mawe, fimbo, pamoja na mapanga kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha mwanafunzi wa darasa la tatu, Shilinde Ngíholo (12).
Kifo cha Shilinde kinadaiwa kusababishwa na kipigo kutoka kwa mwalimu huyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi10 Jul
Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za mauaji na uhalifu mwingine uliofanyika Oktoba mwaka huu, mkoani humo kwa nyakati tofauti. Kamanda wa Polisi mkoani hapa,...
10 years ago
Habarileo05 Feb
Watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mwanamke ambao wote ni wakazi wa Kijiji cha Mkindo wilayani Mvomero mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Huruma Naloloi (32) mkazi wa Mikocheni, Kata ya Dakawa kwa kutumia bunduki na kumpora pikipiki yake.
10 years ago
Mtanzania11 Mar
Wagangambaroni kwa tuhuma za mauaji ya albino
Kadama Malunde, Shinyanga na Renatha Kipaka, Bukoba
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limewatia mbaroni waganga wa tiba asilia 26 katika Wilaya za Kishapu, Shinyanga na Kahama o kupiga ramli za uchonganishi na kusababisha mauaji ya albino.
Akizungumza na wandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema operesheni ya kuwakamata waganga hao ilianza Machi mosi hadi Machi 9 mwaka huu, na baadhi ya waganga hao wamo wanaojihusisha na mauaji ya...
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Watu 12 kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya Kiteto
10 years ago
Habarileo31 Aug
Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji
ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.
11 years ago
Habarileo16 Jul
Wanane washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Kagera
POLISI mkoani Kagera inashikilia watu wanane kwa tuhuma za mauaji yaliyofanyika Wilaya za Bukoba na Missenyi.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-gJOZn-7ANt0/XqLggrT7BCI/AAAAAAALoEA/fOQAWsKC8Q4l4UZ3x86-2jHCpBDFaP2kACLcBGAsYHQ/s72-c/New%2BPicture.png)
POLISI MBEYA YAMSAKA MWAKIFUNA KWA TUHUMA ZA MAUAJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-gJOZn-7ANt0/XqLggrT7BCI/AAAAAAALoEA/fOQAWsKC8Q4l4UZ3x86-2jHCpBDFaP2kACLcBGAsYHQ/s320/New%2BPicture.png)
Tukio hili lilitokea tarehe 23/04/2020 saa 05:00 Wilaya ya Rungwe. Marehemu ambaye ni bibi mzaa baba wa mtuhumiwa walilala nyumba moja. Huku mtuhumiwa akiwa sebuleni na marehemu amelala chumbani.
Usiku muda usiojulikana HAKIMU JAMES MWAKIFUNA alichukua kitu chenye...
10 years ago
StarTV04 Mar
Polisi Dodoma yashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya vikongwe.
Na Joyce Mwakalinga,
Dodoma.
Watu wanne akiwemo Mweyekiti wa Kijiji cha Ihanda tarafa ya Mlali wilayani Kongwa mkoani Dodoma wanashikiliwa na Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kushiriki katika mauaji ya vikongwe kwa imani za kishirikina.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime, vikongwe watatu waliuawa Machi Mosi mwaka huu kwa madai ya kushiriki kuzuia mvua isinyeshe kijijini hapo kwa njia za kishirikina.
Vikongwe hao ni pamoja...