Mnyika, Mchange wavutana sakata la mauaji
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TUHUMA za mauaji ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa, zimeendelea baada ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Chadema, John Mnyika na kada wa chama hicho, Habib Mchange kuvutana hadharani.
Hiyo ni siku chache baada ya Mchange kutoa tuhuma dhidi ya viongozi wa juu wa Chadema wakiwamo Dk. Willibrod Slaa, Freeman Mbowe (mwenyekiti wa chama), Tundu Lissu (mwanasheria) na Mnyika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania15 Aug
Mchange akana tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange
GRACE SHITUNDU NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO)
ALIYEKUWA kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange, ameibuka na kuponda hoja za kumuhusisha kupanga njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.
Alisema tuhuma hizo ni upuuzi na ni dalili ya kifo kwa chama hicho.
Hatua hiyo ya Mchange imekuja siku chache baada ya madiwani wawili wa Chadema Mkoa wa Shinyanga waliokuwa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
BAWACHA walijia juu sakata mauaji ya watoto
BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limewataka Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mathias Chikawe,Waziri wa Jinsia Wanawake na Wanawake, Sophia Simba na Mkuu wa...
10 years ago
GPLMKE ASIMULIA MAPYA SAKATA LA MAUAJI YA MTEJA WA GARI
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Liberatus Sabas aeleze vema sakata la Mauaji haya
TUKIELEKEA kuandika kwa ujumla kuhusu Jeshi la Polisi nchini, wapo wanaofikiri kuwa ujumbe unawahusu wengine, au wengine hufikiri kuwa msiba wa wengi ni furaha. Ni kutokana na hali hiyo wengi...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
DCI atuma timu ya wapelelezi sakata la mauaji Kilimanjaro
10 years ago
VijimamboUkweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo
Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Wabunge wa DRC wavutana
11 years ago
Habarileo26 May
Wachina wavutana bandari ya Dar
UJENZI wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam umechelewa kutokana na sababu tatu, ikiwamo ya mzozo wa kampuni mbili za Kichina zilizowahi kusababisha mvutano kwa waliokuwa mawaziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Dk Athumani Mfutakamba.
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Ngarambe wavutana na mwekezaji Rufiji