Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wa DRC wavutana

Kumetokea mvutano katika Bunge la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya wabunge wa upinzani kupinga sheria mpya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wabunge, Serikali wavutana gesi

WABUNGE wameishauri Serikali isifanye haraka kwa kuwasilisha bungeni miswada ya sheria kuhusiana na masuala ya mafuta na gesi kwa sababu mawazo yao hivi sasa yapo katika Uchaguzi Mkuu na wana mgogoro wa utulivu wa mawazo na fikra.

 

10 years ago

Mwananchi

Wajumbe wavutana kuhusu wabunge kuwajibishwa, kuwa na ukomo katika #Katiba Mpya

Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba zimeendelea kuwasilisha taarifa zake leo huku suala la ukomo wa mbunge na suala la wananchi kumuwajibisha mbunge wao anaposhindwa kazi likizua mvutano.

 

9 years ago

Habarileo

Chadema wavutana uchaguzi wa Meya

MVUTANO umezuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupinga uongozi wa juu wa chama hicho kuahirisha uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji la Arusha uliotakiwa kufanyika Ijumaa iliyopita.

 

11 years ago

Habarileo

Wachina wavutana bandari ya Dar

UJENZI wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam umechelewa kutokana na sababu tatu, ikiwamo ya mzozo wa kampuni mbili za Kichina zilizowahi kusababisha mvutano kwa waliokuwa mawaziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Dk Athumani Mfutakamba.

 

9 years ago

StarTV

Wanachama wa CUF wavutana Tanga  

Wanachama  zaidi ya mia moja wa chama cha wananchi CUF wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wametishia kujeresha kadi zao za chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa..

Madai ya wanachama hao ni kutaka kurejeshwa kwa jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Amina Mwidau kwa kuwa ndiye aliyeshinda kwenye kura za maoni na kuliondoa jina na Saumu Sakala aliyeshika nafasi ya pili kwenye mchakato wa kura za maoni.

 Wananchi wa chama cha wanchi CUF waliokuwa wakitishia kukihama chama hicho kufuatia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani, Mkurugenzi Arusha wavutana

KIKAO cha Baraza la Madiwani cha Jiji la Arusha kimeshindwa kufanyika baada ya madiwani kupitisha hoja ya kukaa kama kamati wakitaka kujadili nidhamu ya Mkurugenzi wa jiji hilo, Sipora Liana,...

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema, CUF wavutana Musoma

Vyama vya CUF na Chadema ambavyo ni miongoni mwa vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kila kimoja kimeeleza kitasimamisha mgombea ubunge Musoma Mjini kinyume na makubaliano yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Ngarambe wavutana na mwekezaji Rufiji

>Baadhi ya wakazi wa Kata ya Ngarambe inayo ayopakana na pori la akiba la Selous wilayani Rufiji, wamedai kuwa kitendo cha mwekezaji katika kitalu chao kushindwa kuwinda miaka miwili mfululizo, kinatoa mwanya kwa baadhi ya wanakijiji kuua wanyama kiholela kutokana na kukosekana kwa doria za mara kwa mara katika eneo hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu, Werema wavutana bungeni

WANASHERIA nguli, Tundu Lissu na Frederick Werema, jana walizusha mvutano mkubwa bungeni juu ya Mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba.  Mvutano huo ulitokana na uwasilishaji mada uliofanywa na Werema juu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani