Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani, Mkurugenzi Arusha wavutana

KIKAO cha Baraza la Madiwani cha Jiji la Arusha kimeshindwa kufanyika baada ya madiwani kupitisha hoja ya kukaa kama kamati wakitaka kujadili nidhamu ya Mkurugenzi wa jiji hilo, Sipora Liana,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Madiwani, watumishi wavutana kuhusu Tasaf

Baadhi ya watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, wameonyesha wasiwasi wao juu ya utekelezaji miradi ya Mpango wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf III), kutokana na kushindwa kukamilisha miradi ya awamu iliyopita na kuacha viporo.

 

9 years ago

StarTV

Mgawanyo Wa Mali, Watumishi Madiwani Ulanga na Malinyi wavutana

 

Mvutano mkali umezuka baina ya madiwani wa Halmashauri ya Ulanga na wale wa Halmashauri mpya ya Malinyi baada ya Madiwani wa Malinyi kutaka kupewa muongozo na kufahamishwa juu ya mgawanyo wa mali na watumishi utakaofanyika katika halmashauri hizo.

Mjadala huo umetokea mara baada ya mkurungezi wa Ulanga kusoma taarifa ya utekelezaji wa kipindi cha miezi sita ambacho madiwani hao hawakuwepo ndipo wakaanza kuhoji ni kwa nini hakuna taarifa ya mgawanyo huo hatua iliyomlazimu mkuu wa Mkoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wamkataa Mkurugenzi

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, limemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumtafutia kituo kingine cha kazi Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Samweli Sarianga, kutokana na kushindwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mkurugenzi awaasa madiwani wa Jiji

MADIWANI na watendaji wa kata 12 za halmashauri ya jiji la Mwanza, wametakiwa kuweka takwimu katika taarifa zao za utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya kata kubaini ukubwa wa matatizo.

 

10 years ago

Habarileo

Madiwani Simanjiro wamkataa Mkurugenzi

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, juzi liligeuka kuwa kamati ili kujadili ajenda namba tano iliyokuwa ikihusu kupunguzwa kwa posho za vikao vya madiwani kutoka Sh 80,000 kwa kila diwani hadi Sh 40,000.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Kalambo wamgomea mkurugenzi

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Philibert Ngaponda, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya madiwani kugoma kuendelea na kikao cha Baraza la Madiwani kutokana na kile...

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani wataka mkurugenzi asimamishwe

>Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, limepitisha maazimio ya kumtaka Rais Jakaya Kikwete, kumsimamisha kazi kwa muda mkurugenzi wa manispaa hiyo, Shaban Ntarambe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Maswa wamjia juu mkurugenzi

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, wamemjia juu mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Hilda Lauwo, wakimtaka atoe maelezo ni kwa nini anashindwa kuwaalika waandishi wa habari hasa...

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani walaani jaribio la kumuua mkurugenzi

 Madiwani wa CCM wilayani Iramba wamelaani vikali jaribio la kutaka kuuawa kwa bomu mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani