Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani, watumishi wavutana kuhusu Tasaf

Baadhi ya watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, wameonyesha wasiwasi wao juu ya utekelezaji miradi ya Mpango wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf III), kutokana na kushindwa kukamilisha miradi ya awamu iliyopita na kuacha viporo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mgawanyo Wa Mali, Watumishi Madiwani Ulanga na Malinyi wavutana

 

Mvutano mkali umezuka baina ya madiwani wa Halmashauri ya Ulanga na wale wa Halmashauri mpya ya Malinyi baada ya Madiwani wa Malinyi kutaka kupewa muongozo na kufahamishwa juu ya mgawanyo wa mali na watumishi utakaofanyika katika halmashauri hizo.

Mjadala huo umetokea mara baada ya mkurungezi wa Ulanga kusoma taarifa ya utekelezaji wa kipindi cha miezi sita ambacho madiwani hao hawakuwepo ndipo wakaanza kuhoji ni kwa nini hakuna taarifa ya mgawanyo huo hatua iliyomlazimu mkuu wa Mkoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani, Mkurugenzi Arusha wavutana

KIKAO cha Baraza la Madiwani cha Jiji la Arusha kimeshindwa kufanyika baada ya madiwani kupitisha hoja ya kukaa kama kamati wakitaka kujadili nidhamu ya Mkurugenzi wa jiji hilo, Sipora Liana,...

 

10 years ago

StarTV

Awamu ya tatu TASAF, Madiwani Karagwe waonywa.

Na Mariam Emily,

Karagwe.

 

Madiwani mkoani Kagera wametakiwa kutotumia vibaya nafasi zao za uongozi katika mpango wa TASAF awamu ya tatu unaolenga kunusuru kaya Masikini kwa kuingiza kaya zisizostahili.

 

Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa uratibu wa TASAF Alphonce Kyariga wakati wa warsha ya kujenga uelewa wilayani Karagwe mkoani Kagera.

 

Mkurugenzi wa uratibu wa TASAF Alphonce Kyariga aliwataka Madiwani kuwa mstari wa mbele katika kuhimiza jamii zao kupokea mpango huo kwa mikono...

 

11 years ago

Mwananchi

Wizara, TFDA wavutana kuhusu kiwanda

>Wingu la utata umetanda kuhusu kufunguliwa kwa Maabara ya Kutengeneza Chanjo ya Ugonjwa wa Kuku wa Kideri baada ya Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) kueleza kuwa hakijakidhi kiwango huku Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ikieleza kuwa kina sifa ya kuanza uzalishaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Hai watimua watumishi watano

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Hai, limefikia uamuzi wa kufukuzisha kazi  watumishi wake watano kwa kosa la utoro kazini. Maazimio ya kufukuzwa kazi kwa watendaji hao yalifikiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi

Shahidi watatu katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro huku mawakili wa upande wa mashtaka na wa utetezi wakisigana kwenye kifungu cha 150 hadi 152 cha sheria ya ushahidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wajumbe wavutana kuhusu wabunge kuwajibishwa, kuwa na ukomo katika #Katiba Mpya

Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba zimeendelea kuwasilisha taarifa zake leo huku suala la ukomo wa mbunge na suala la wananchi kumuwajibisha mbunge wao anaposhindwa kazi likizua mvutano.

 

5 years ago

Michuzi

Madiwani Waazimia kuwawajibisha watumishi wanaokula njama na wakwepa ushuru

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi limeazimia kuzitumia kanuni za utumishi wa umma zinaoelezea adhabu inyaotolewa kwa watumishi ambao hawawajibiki ipasavyo kwa mwajiri wao katika kuhakikisha wanakusanya ushuru kwenye maeneo yao waliyopangiwa na hatimae kuongeza mapato ya halmashauri hiyo iliyopo Mkoani Rukwa

Kauli hiyo imetolewa na kaimu mwenyekiti wa halmashauri hiyo Mh. Steven Kayogolo wakati akifunga baraza hilo la robo ya pili ya mwaka wa fedha 2019/2020 na kuongeza kuwa...

 

11 years ago

GPL

INJINIA MANYANYA: SITASITA KUWAONDOA WATUMISHI, WAKUU WA IDARA WANAOWACHONGANISHA MADIWANI NA MKURUGENZI WAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kilichofanyika jana tarehe 25 Januari 2014 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo uliopo Sumbawanga Mjini.  Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Methew Sedoyyeka akizungumza katika kikao…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani