Madiwani Waazimia kuwawajibisha watumishi wanaokula njama na wakwepa ushuru
![](https://1.bp.blogspot.com/-ntdmY_aXX0U/Xl4UP_JAtuI/AAAAAAALgiA/1Wyz_eD-dbgDiTGEJrBscIKwGcXXl19hQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi limeazimia kuzitumia kanuni za utumishi wa umma zinaoelezea adhabu inyaotolewa kwa watumishi ambao hawawajibiki ipasavyo kwa mwajiri wao katika kuhakikisha wanakusanya ushuru kwenye maeneo yao waliyopangiwa na hatimae kuongeza mapato ya halmashauri hiyo iliyopo Mkoani Rukwa
Kauli hiyo imetolewa na kaimu mwenyekiti wa halmashauri hiyo Mh. Steven Kayogolo wakati akifunga baraza hilo la robo ya pili ya mwaka wa fedha 2019/2020 na kuongeza kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV30 Dec
Waziri Mpango aapa kuwawajibisha wakwepa kodi
Waziri wa Fedha Dokta Philip Mpango amesema hatakubali kuona ama kuendelea kuwafumbia macho watu watakaobainika kuitumia Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kama pango la kujinufaisha kiuchumi.
Sambamba na hilo, Serikali imeandaa mazingira rafiki ya mifumo ya ukusanyaji mapato ikiwa ni pamoja na kuondoa ushuru kwa Wafanyabiashara ndogo ndogo na badala yake itajikita kwa wafanyabiashara wakubwa.
Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango ameeleza mikakati yake kama sehemu ya kufanikisha adhima ya Serikali...
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Madiwani Hai watimua watumishi watano
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Hai, limefikia uamuzi wa kufukuzisha kazi watumishi wake watano kwa kosa la utoro kazini. Maazimio ya kufukuzwa kazi kwa watendaji hao yalifikiwa...
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Madiwani, watumishi wavutana kuhusu Tasaf
9 years ago
StarTV17 Dec
Mgawanyo Wa Mali, Watumishi Madiwani Ulanga na Malinyi wavutana
Mvutano mkali umezuka baina ya madiwani wa Halmashauri ya Ulanga na wale wa Halmashauri mpya ya Malinyi baada ya Madiwani wa Malinyi kutaka kupewa muongozo na kufahamishwa juu ya mgawanyo wa mali na watumishi utakaofanyika katika halmashauri hizo.
Mjadala huo umetokea mara baada ya mkurungezi wa Ulanga kusoma taarifa ya utekelezaji wa kipindi cha miezi sita ambacho madiwani hao hawakuwepo ndipo wakaanza kuhoji ni kwa nini hakuna taarifa ya mgawanyo huo hatua iliyomlazimu mkuu wa Mkoa...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/KfHg6YGqxZ0/default.jpg)
Msanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake
Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
![](https://3.bp.blogspot.com/-CwPhPjmqGpQ/VPQhIv6w8uI/AAAAAAAACDo/o9MyJVrPz6w/s640/kizito2.jpg)
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.
Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-EpRtAyObzKo/UuNs--7ZDFI/AAAAAAAAE_8/EUONrsqMub8/s1600/IMG_9935.jpg)
INJINIA MANYANYA: SITASITA KUWAONDOA WATUMISHI, WAKUU WA IDARA WANAOWACHONGANISHA MADIWANI NA MKURUGENZI WAO
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Wananchi Kuwawajibisha viongozi
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Mwakyembe aapa kuwawajibisha TRL