Wananchi Kuwawajibisha viongozi
Mjadala kuhusu uwezo wa wananchi katika kuwawajibisha viongozi wao hasa wa serikali za mitaa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Mwakyembe aapa kuwawajibisha TRL
10 years ago
StarTV06 Feb
Manispaa Ilemela kuwawajibisha watendaji Ardhi
Na Wambura Mtani,
Mwanza.
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza inakusudia kuwachukulia hatua za kinidhamu watendaji wake wa idara ya ardhi na mipango miji wanaojihusisha na vitendo vya uporaji viwanja katika maeneo mbalimbali ya manispaa hiyo.
Hatua hii inakuja baada ya kukithiri kwa malalamiko yanayowahusisha watendaji wa idara hizo ambao wanatuhumiwa kuwahadaa wananchi kuwapimia viwanja na kisha kuwapora kwa madai kuwa maeneo yao yametengwa kwa ajili ya miradi maalumu ya...
9 years ago
StarTV30 Dec
Waziri Mpango aapa kuwawajibisha wakwepa kodi
Waziri wa Fedha Dokta Philip Mpango amesema hatakubali kuona ama kuendelea kuwafumbia macho watu watakaobainika kuitumia Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kama pango la kujinufaisha kiuchumi.
Sambamba na hilo, Serikali imeandaa mazingira rafiki ya mifumo ya ukusanyaji mapato ikiwa ni pamoja na kuondoa ushuru kwa Wafanyabiashara ndogo ndogo na badala yake itajikita kwa wafanyabiashara wakubwa.
Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango ameeleza mikakati yake kama sehemu ya kufanikisha adhima ya Serikali...
10 years ago
Vijimambo06 Oct
WANANCHI WAASI, WAWASHAMBULIA WATENDAJI, VIONGOZI
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/ombeni-October6-2014.jpg)
Takribani wiki moja baada ya Ikulu kukana Rais Jakaya Kikwete, kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na watumishi wengine wa serikali kupinga walimu kukatwa mishahara kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari nchini, baadhi ya wananchi mkoani Singida wameasi na kuwashambulia na kuwajeruhi viongozi wa serikali waliokuwa wakitekeleza mpango huo.
Wananchi hao wanadaiwa kuwashambulia na kuwajeruhi...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Kuwachagulia wananchi viongozi kutaleta balaa
10 years ago
StarTV13 Jan
Wananchi waaswa kuchagua viongozi wachapa kazi
Na Sudi Shaaban,
Mwanza.
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wananchi kuwa makini kuepuka watakaotaka uongozi kwa kutoa rushwa na badala yake wachague viongozi ambao watakuwa na weledi na wachapa kazi katika taifa.
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu watu mbalimbali wanatajwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi baadhi yao wakijipanga kupata kura kwa kuwalaghai wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu za uchaguzi.
Baadhi ya wananchi wanatajwa kuwa mstari wa...
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Kuelezea Uchaguzi:Davina Awatahadharisha Viongozi na Wananchi!!
Mwigizaji mkongwe Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.
Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wa GPL ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa...
11 years ago
Habarileo14 Dec
Wananchi watakiwa kuwafichua viongozi wanaokiuka maadili
SEKRETARIETI ya maadili ya viongozi wa umma Kanda ya Ziwa imewataka wananchi kuwafichua viongozi wa umma wanaojihusisha na vitendo vya ukiukwaji wa maadili.
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Kuelekea Uchaguzi:Davina Awatahadharisha Viongozi na Wananchi!!
Mwigizaji mkongwe Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.
Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wa GPL ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa...