Kuelezea Uchaguzi:Davina Awatahadharisha Viongozi na Wananchi!!
Mwigizaji mkongwe Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.
Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wa GPL ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Kuelekea Uchaguzi:Davina Awatahadharisha Viongozi na Wananchi!!
Mwigizaji mkongwe Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.
Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wa GPL ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa...
9 years ago
StarTV01 Oct
Samia awatahadharisha wananchi kutunza amani
Chama cha Mapinduzi CCM kupitia Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais Samia Suluhu amewataka wananchi kulinda na kutunza amani iliyopo katika kipindi hiki cha Kampeni na Uchaguzi nchi nzima ili kuepuka kumwaga damu kama zilivyo nchi nyingine.
Samia ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara ulifanyika sirari,Tarime Mkoani Mara alipokuwa akifanya kampeni za kuomba kura pamoja na kunadi Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho.
Mara baada ya viwanja vya kata ya sriar samia alipata nafasi ya kufafanua...
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Mgombea wa CCM awatahadharisha wananchi kutoendelea kusikiliza propaganda za vyama vya upinzani
Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki (CCM),Bwana Jonathani Njau )aliyesimama katikati ya uwanja akiwaomba kura za kuwa mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Okt,25, mwaka huu.
Na, Jumbe Ismailly, Ikungi
MGOMBEA wa ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Jonathani Njau amewataka wananchi wa jimbo hilo kutokuwa tayari kuendelea kusikiliza Propaganda za kisiasa,walizozisikiliza kwa kipindi cha miaka mitano sasa,na...
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Rushwa kwenye uchaguzi inavyo wanyima wananchi viongozi bora
9 years ago
MichuziNEC YAWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUTOKUWA NA UPANDE WAKATI WA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO.
9 years ago
VijimamboNEC YAWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUTOKUWA NA UPANDE WAKATI WA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO.
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
DC awatahadharisha watendaji Igunga
MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, mkoani Tabora, Elibariki Kingu, amewaeleza watendaji wa vitongoji, vijiji, kata na tarafa watakaojiona hawawezi kufikia malengo ya wilaya hiyo juu ya kuandikisha kaya zilizo...
9 years ago
StarTV01 Oct
IGP Mangu awatahadharisha wanasiasa Tarime, Rorya
Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Ernest Mangu amewataka wagombea na viongozi wa vyama vya siasa katika wilaya ya Tarime na Rorya kuhakikisha wanalinda amani ili viashiria vya uvunjifu wa amani visitokee tena katika majimbo yaliyomo katika wilaya hizo
Kauli hiyo imekuja kufuatia matukio mawili ya vurugu za wanachama na wafuasi wa vyama kupigana na kusababsha kifo cha mtu mmoja na wengine kadha kujeruhiwa kwa siraha za jadi katika jimbo la tarime vijijini
Mangu ameyasema hayo katika...