Samia awatahadharisha wananchi kutunza amani
Chama cha Mapinduzi CCM kupitia Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais Samia Suluhu amewataka wananchi kulinda na kutunza amani iliyopo katika kipindi hiki cha Kampeni na Uchaguzi nchi nzima ili kuepuka kumwaga damu kama zilivyo nchi nyingine.
Samia ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara ulifanyika sirari,Tarime Mkoani Mara alipokuwa akifanya kampeni za kuomba kura pamoja na kunadi Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho.
Mara baada ya viwanja vya kata ya sriar samia alipata nafasi ya kufafanua...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV05 Oct
Samia awahimiza wananchi kuendeleza amani
Mgombea mwenza wa kiti cha Urais wa Chama cha mapinduzi CCM Samia Suluhu amewaomba wananchii kote nchini kuhakikisha wanatoa taarifa katika vyombo vya usalama pindi wanapoona wageni wasiokuwa na taarifa zao katika kuelekea katika uchaguzi mkuu.
Samia ameyasema hayo alipokuwa akimaliza ziara yake ya kuomba kura pamoja na kunadi ilani ya uchaguzi ya chama hicho katika mkoa wa simiyu katika wilaya ya Maswa.
Katika kiwanja cha nguzo nane wilaya ya maswa baadhi ya wananchii wanakusanyika kwa...
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Kuelezea Uchaguzi:Davina Awatahadharisha Viongozi na Wananchi!!
Mwigizaji mkongwe Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.
Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wa GPL ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa...
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Kuelekea Uchaguzi:Davina Awatahadharisha Viongozi na Wananchi!!
Mwigizaji mkongwe Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.
Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wa GPL ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa...
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Mgombea wa CCM awatahadharisha wananchi kutoendelea kusikiliza propaganda za vyama vya upinzani
Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki (CCM),Bwana Jonathani Njau )aliyesimama katikati ya uwanja akiwaomba kura za kuwa mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Okt,25, mwaka huu.
Na, Jumbe Ismailly, Ikungi
MGOMBEA wa ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Jonathani Njau amewataka wananchi wa jimbo hilo kutokuwa tayari kuendelea kusikiliza Propaganda za kisiasa,walizozisikiliza kwa kipindi cha miaka mitano sasa,na...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Sumaye: Wanawake wanawajibika kutunza amani
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema wanawake wanao wajibu wa kudumisha amani na usalama barani Afrika. Sumaye alisema hayo mwishoni mwa wiki ikiwa ni mwendelezo wa uwasilishaji wa mada za...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO SAMIA SULUHU HASSAN ATOA WITO WA KUTUNZA MALI ASILI NA MAZINGIRA
9 years ago
StarTV24 Nov
Wananchi washauriwa kutunza uoto wa asili
Watendaji wa Halmashauri na kata zote nchini wametakiwa kusimamia sheria za mazingira ili kuleta mabadiliko katika utekelezaji wa usafi na kuepuka madhara yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Uchafuzi wa mazingira, ukataji wa miti ovyo na Nishati isiyozingatia upunguzaji wa hewa ukaa ni changamoto kubwa katika usimamizi wa mazingira.
Kauli hiyo imetolewa katika hafla fupi ya kufunga na kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo kuhusu mabadiliko ya Tabia nchi, mipango miji na Maendeleo...