Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi washauriwa kutunza uoto wa asili

 

Watendaji wa Halmashauri na kata zote nchini wametakiwa kusimamia sheria za mazingira ili kuleta mabadiliko katika utekelezaji wa usafi na kuepuka madhara yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi.

Uchafuzi wa mazingira, ukataji wa miti ovyo na Nishati isiyozingatia upunguzaji wa hewa ukaa ni changamoto kubwa katika usimamizi wa mazingira.

Kauli hiyo imetolewa katika hafla fupi ya kufunga na kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo kuhusu mabadiliko ya Tabia nchi, mipango miji na Maendeleo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Singida watahadharishwa na baa la njaa, washauriwa kutunza vyakula

DSC07291

Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Edward Ole Lenga, akizungumza kwenye hafla ya utundikaji mizinga ya nyuki kimkoa zilizofanyika katika kijiji cha Nkungi wilayani Mkalama.Wa pili kulia walioketi ni Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone na (wa kwanza kulia) ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama, James. Kushoto (aliyekaa) ni Katibu tawala mkoa wa Singida Liana Hassan.

Na Nathaniel Limu, Singida

KAIMU mkuu wa wilaya ya Singida, Edward Ole Lenga, amewataka wakazi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO SAMIA SULUHU HASSAN ATOA WITO WA KUTUNZA MALI ASILI NA MAZINGIRA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa kutunza mali asili na mazingira kwa sababu ni urithi kwa vizazi vijavyo. Aliongea hayo alipokuwa akifungua mkutano wa Wadau unaohusiana na Azimio la Gaborone jijini Dar es Salaam. Aliongeza kuwa  idadi ya watu duniani inazidi kuongezeka hivyo basi ni jukumu la kila mmoja kuacha kukata miti hovyo, kuacha kuchoma misitu na vitu vyote vinavyosababisha uharibifu wa mazingira kwa sababu upo...

 

9 years ago

StarTV

Samia awatahadharisha wananchi kutunza amani

Chama cha Mapinduzi  CCM kupitia Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais Samia Suluhu amewataka wananchi kulinda na kutunza amani iliyopo katika kipindi hiki cha Kampeni na Uchaguzi nchi nzima ili kuepuka kumwaga damu kama zilivyo nchi nyingine.

Samia ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara ulifanyika sirari,Tarime Mkoani Mara alipokuwa akifanya kampeni za kuomba kura pamoja na kunadi Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho.

Mara baada ya viwanja vya kata ya sriar samia alipata nafasi ya kufafanua...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wahimizwa kutunza hati za kusafiria

WATANZANIA wametakiwa kutunza hati zao za kusafiria kwani endapo zitapotea na kuchukuliwa na wahalifu wa kimataifa itasababisha wahalifu hao kuingia kwa urahisi nchini na kufanya uhalifu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi washauriwa kujiunga Saccos

Jamii imetakiwa kujiunga na Vyama vya Akiba na Mikopo (Saccos), lengo likiwa ni kupata fursa ya mikopo mbalimbali ili wajikwamue na umaskini.

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi Wilayani Mpanda waaswa kutunza vyanzo vya maji na mazingira

Na Kibada Kibada –Katavi
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi  mazingira  kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo  ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye  maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi Watakiwa kutunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi


Na Woinde Shizza , ARUSHA

BARAZA la Taifa la hifadhi na usimamizi wa Mazingira Kanda ya kaskazini (NEMC) limewataka wananchi kutunza mazingira ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari  leo Meneja Meneja wa kanda ya kaskazini Lewis Nzali alisema uharibifu wa mazingira unachangia kwa kiasi kikubwa kupoteza kwa baadhi ya viumbe hai maarufu kama bionuai pamoja na hali ya jangwa na ukame.

Alisema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani