Wananchi wahimizwa kutunza hati za kusafiria
WATANZANIA wametakiwa kutunza hati zao za kusafiria kwani endapo zitapotea na kuchukuliwa na wahalifu wa kimataifa itasababisha wahalifu hao kuingia kwa urahisi nchini na kufanya uhalifu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Hati ya kusafiria iliyopotea kulipiwa 200,000
IDARA ya Uhamiaji nchini imeongeza ada kwa waombaji wa hati ya kusafiria zilizopotea kutokana na kubaini kuwa wamiliki wa hati hizo wengi wao wamekuwa wakitoa taarifa za uongo ikiwa ni...
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Kisarawe wahimizwa kutunza miti ya matunda
9 years ago
StarTV24 Nov
Wananchi washauriwa kutunza uoto wa asili
Watendaji wa Halmashauri na kata zote nchini wametakiwa kusimamia sheria za mazingira ili kuleta mabadiliko katika utekelezaji wa usafi na kuepuka madhara yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Uchafuzi wa mazingira, ukataji wa miti ovyo na Nishati isiyozingatia upunguzaji wa hewa ukaa ni changamoto kubwa katika usimamizi wa mazingira.
Kauli hiyo imetolewa katika hafla fupi ya kufunga na kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo kuhusu mabadiliko ya Tabia nchi, mipango miji na Maendeleo...
9 years ago
StarTV01 Oct
Samia awatahadharisha wananchi kutunza amani
Chama cha Mapinduzi CCM kupitia Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais Samia Suluhu amewataka wananchi kulinda na kutunza amani iliyopo katika kipindi hiki cha Kampeni na Uchaguzi nchi nzima ili kuepuka kumwaga damu kama zilivyo nchi nyingine.
Samia ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara ulifanyika sirari,Tarime Mkoani Mara alipokuwa akifanya kampeni za kuomba kura pamoja na kunadi Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho.
Mara baada ya viwanja vya kata ya sriar samia alipata nafasi ya kufafanua...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EcPmiPVTFII/XtZqVIWSIjI/AAAAAAALsWc/i9zezqTSWtgZ1Y45RSCY_6ego4CXco34wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200601_153508_3.jpg)
Wananchi Watakiwa kutunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
Na Woinde Shizza , ARUSHA
BARAZA la Taifa la hifadhi na usimamizi wa Mazingira Kanda ya kaskazini (NEMC) limewataka wananchi kutunza mazingira ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Meneja Meneja wa kanda ya kaskazini Lewis Nzali alisema uharibifu wa mazingira unachangia kwa kiasi kikubwa kupoteza kwa baadhi ya viumbe hai maarufu kama bionuai pamoja na hali ya jangwa na ukame.
Alisema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-N6hVAR_KmwQ/UyBoU4CG41I/AAAAAAAFTGQ/CYSzqau5vsI/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Wananchi Wilayani Mpanda waaswa kutunza vyanzo vya maji na mazingira
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Maadhimisho ya wiki ya maji mkoa wa Dar yazinduliwa rasmi,wananchi watakiwa kulinda na kutunza miundombinu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Maji mkoani Dar es salaam.
Na Aron Msigwa, MAELEZO
Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Wiki ya maji kuanzia tarehe 16 hadi 22, Machi 2015 chini ya Kauli Mbiu isemayo Maji kwa Maendeleo Endelevu.
Maadhimisho ya mwaka huu yanatoa fursa kwa Mamlaka zinazohusika na usimamizi wa Maji nchini kutathmini huduma wanayoitoa kwa wananchi, kujenga na kuimarisha miundombinu iliyopo...