Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Wilayani Mpanda waaswa kutunza vyanzo vya maji na mazingira

Na Kibada Kibada –Katavi
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi  mazingira  kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo  ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye  maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji watakiwa kutunza vyanzo vya maji

MKUU wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego, amewaagiza watendaji wa vijiji, mitaa na kata kuhakikisha wanatunza na kulinda vyanzo vya maji ikiwemo miundombinu yake ili kuwepo na uhakika wa maji....

 

10 years ago

Michuzi

DC MAKUNGA ATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA)

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) Sharry Raymond wakati akitembelea chanzo cha maji cha Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa akimueleza jambo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga wakati wa ziara yake ya siku moja kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo.
DC Makunga akisikiliza kwa makini...

 

9 years ago

Michuzi

KILA MWANANCHI ANAWAJIBU WA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI-BALOZI ALI IDDI

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua mradi wa uchimbaji Visima vya Maji Zanzibar unaofadhiliwa na Mtawala wa RAS Al - Khaimah hpo Chumbuni.  Balozi Seif akishuhudi kasi ya maji inayotoka miongoni mwa Visima 50 vilivyochimbwa maeneo mbali mbali ya Zanzibar hapo Chumbuni ndani ya iliyokuwa zamani studio ya Sauti ya Tanzania Zanzibar.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

UWANJA WA NDEGE MPANDA WAASWA KUTUNZA MIUNDOMBINU

Na Saidi Mkabakuli, Mpanda

Kufuatia kukamilika kwa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda, mkoani Katavi, Serikali imewaasa watumiaji wa uwanja huo kutunza miundombino ya uwanja huo ili kuweza kuhudumia wakazi na wageni wapitao uwanjani hapo kwa muda mrefu.

Wito huo umetolewa na Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati walipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya miundombinu katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda,...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi wavamia vyanzo vya maji vya Milima ya Amani Tanga.

Na Mbonea Herman,

Tanga.

 

Wakati Serikali ikiwa imepiga marufuku uvunaji wa misitu na uchimbaji wa madini kwenye vyanzo vya maji vya milima ya Amani, jitihada hizo zimeonekana kugonga mwamba baada ya shughuli hizo kuanza tena kwa kasi.

 

Shughuli za madini na uvunaji wa mbao katika milima ya Amani wilayani Muheza mkoani Tanga huenda zikasababisha ukosefu wa maji kuendelea katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo na jiji la Tanga kwa ujumla.

 

Maji ni uhai na pia ni muhimu kwa maisha ya kila...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANA WAASWA KUTUNZA NA KUTHAMINI MAZINGIRA

002Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Binilith Mahenge akimkaribisha mgeni Rasmi ili aweze kuzindua maadhimisho ya wiki ya Mazingira duniani katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga.001Mkurugenzi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu akitoa maelezo kwa mgeni Rasmi Mheshimiwa Samuel Sitta alipotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika maadhimisho ya wiki ya siku ya mazingira jijini Tanga. Wengine wanaosikiliza ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa...

 

9 years ago

Michuzi

Wananchi watakiwa kuwa nje ya mita 60 kutoka vyanzo vya maji vinavyopeleka Mtera

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na wananchi katika kijiji cha Chimwenga wilaya ya Mbeya vijijini ambapo Naibu Waziri aliwaeleza wananchi hao umuhimu wa kukaa mbali na vyanzo vya maji ili kutoviharibu na kusababisha upungufu wa maji unaopelekea bwawa la uzalishaji umeme la Mtera kukauka.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa wakiwa katika kijiji cha Makwenji wilaya ya Mbeya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani